Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vikwazo vya habari Iringa kuondolewa

SERIKALI mkoani humu imeahidi kuendelea kuondoa vikwazo vinavyowafanya wanahabari wasipate taarifa wanazohitaji kwa wakati, kwa ajili ya kuuhabarisha umma. Aidha, imesema ili kukuza demokrasia, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa katika mkoa huu itaendelea kutoa ushirikiano kwa wanahabari na kuwapa wananchi elimu juu ya haki yao ya kikatiba ya kuomba na kupewa habari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Vikwazo vya kibiashara dhidi ya Czech kuondolewa


NA SUBIRA SAID, TSJ
SERIKALI imeandaa mpango wa kuondoa vikwazo vinavyokwamisha ukuaji wa biashara na Jamhuri ya Czech.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu, alisema hayo jana alipokuwa akifungua kongamano la kibiashara kati ya Tanzania na Jamhuri ya Czech.
Alisema mpango huo utawawezesha wawekezaji na wafanyabiashara kutumia fursa zilizopo ili kukuza uchumi na maendeleo ya nchi hizo.
Dk. Mary alisema tayari serikali imetayarisha mpango huo na inatarajia...

 

5 years ago

Michuzi

SADC WAPENDEKEZA KUONDOLEWA KWA VIKWAZO VYA KIBIASHARA MIPAKANI

Eric Msuya – MAELEZO

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge amewataka watanzania kuendelea kudumisha umoja na Ushirikiano wa Kibiashara katika ukanda wa Jumuiya ya maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.

Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa ngazi ya Makatibu Wakuu uliofanyika kwa njia ya Mtandao (video conference) leo jijini Dar es Salaam, amesema Mkutano huo ni mahususi kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Cuba kuondolewa vikwazo na Marekani?

Rais wa Cuba, Raul Castro, amemhimiza rais Obama wa Marekani kutumia mamlaka yake ya urais kuondoa vikwazo vya kiuchumi

 

9 years ago

BBCSwahili

Vikwazo dhidi ya Iran kuondolewa

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza amesema huenda vikwazo dhidi ya Iran vikaanza kuondolewa mapema mwaka ujao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Libya yaomba kuondolewa vikwazo

Libya imeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuiondolea vikwazo vya silaha ili iweze kupambana na magaidi

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA: NCHI ZA SADC TUENDELEE KUPAZA SAUTI KUONDOLEWA VIKWAZO ZIMBABWE

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kutumia majukwaa ya kikanda, kitaifa na kimataifa kwa ajili ya kupaza sauti zao ili kusaidia kuondolewa kwa vikwazo kandamizi vya kiuchumi kwa Jamhuri ya Zimbabwe.
Akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC leo Jumatano (Machi 18, 2020) Jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Majaliwa alisema Tanzania kupitia nafasi yake ya Uenyekiti wa SADC imeendelea kupaza sauti kwa...

 

11 years ago

Michuzi

WANAHABARI IRINGA WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

Katibu  wa chama  cha waandishi wa habari  mkoa wa Iringa (IPC) Francis Godwin wa pili  kulia  akiongoza  wanahabari na wananchi wa kata ya Ilala kwenda kufanya usafi wa mazingira   leo  wakati wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani. Wanahabari  mkoa wa Iringa  wakiadhimisha siku ya uhuru wa  vyombo vya habari kwa kufanya usafi.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

SHANGAZI WA BOBBI KRISTINA ASEMA HABARI ZA KUONDOLEWA MASHINE NI ZA UWONGO

Habari za kuondolewa mashine anayotumia Bobbi Kristina ili aendelee kuishi si za kweli habari hizo zilizokuwa zimezagaa kwenye mitandao ya kijamii ndani na nje ya Marekani zilisema familia ya Bobbi Kristina ilikubaliana iondoe mashine ili mtoto huyo wa afe siku moja na ile aliyokufa mama yake Whitney Houston Februari 11 kitu ambacho shangazi huyo wa Bobbi Kristina amekataa na kusema si cha kweli.

Bobbi Kristina alikutwa ameanguka bafuni huku kichwa kikiwa kikiwa ikimeinamia chini na kuonekana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani