Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF CHATAKA WANANCHI KONDOA KUBADILIKA


CHAMA cha Wananchi (CUF) wilaya ya Kondoa kimewataka wananchi wa Wilaya hiyo kufanya mageuzi ya uongozi kwa kuchagua wagombea wa vyama vya upinzani ili kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kuleta maendeleo.
Hayo yalisemwa na Katibu wa CUF wilaya ya Kondoa, Jafari Ganga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya CUF Dar es Salaam jana.
Alisema kwa miaka mingi wilaya ya Kondoa imekuwa ikitawaliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM)katikangazi mbalimbaliza viongozi wa juu wakiwemo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MTERA, KONDOA KASKAZINI NA KONDOA KUSINI : UKAWA IJIFUNGE MKANDA

Jumatano iliyopita tuliangazia majimbo ya Dodoma Mjini, Bahi na Chilonwa. Leo tunaendelea kuchambua majimbo ya Mkoa wa Dodoma tukijikita kwenye majimbo ya Mtera, Kondoa Kaskazini na Kondoa Kusini. 

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WANANCHI CUF CHASISITIZA KUWA KATIKA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI ( UKAWA )

1Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Bara, Magdalena Sakaya, akizungumza na waandishishi wa habari, Dar es Salaam leo kuhusu masuala ya kuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Uchaguzi na Mipango wa CUF, Shaweji Mketo na kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Habari wa CUF Taifa, Abdul Kambaya.2Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MUNGURI, KONDOA- DODOMA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana (wa tatu kulia) akipatiwa maelezo wakati akikagua utoaji wa mafunzo katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, Kondoa, akiwa ameambatana na Uongozi wa Wilaya ya Kondoa.
Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana akiwa katika ziara hii ya Kikazi alipata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, kondoa ambacho ni miongoni mwa vyuo 55 vinavyotoa mafunzo ya elimu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. SALUM BARWANY CUF AWASHUKURU WANANCHI WAKE LINDI.


Mmoja wa viongozi CUF akiongea kwenye mkutano wa Wananchi ulioandaliwa na Mbunge wa Lindi Mjini Mhe. Salum Barwany leo Jumapili katika kuwashukuru wananchi wa Jimbo lake.
Mkutano wa CUF mjini Lindi leo Jumapili July 19, 2015 ulioandaliwa na  Mbunge Mhe. Salum Barwany katika kuwashukuru wananchi wa Jimbo lake.
Wafuasi wa chama cha CUF wakihudhuria mkutano huo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Chama cha Wananchi CUF Chaahidi Uchimbaji Mafuta Ndani ya Siku 100

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha wananchi-CUF- Maalim Seif Sharrif Hamad amesisitiza kuwa anahitaji siku 100 tu kwa Zanzibar kuwa na mamlaka yake kuhusu sera na uchimbaji wa mafuta kisiwani humo. Maalim ametoa msimao huo […]

The post Chama cha Wananchi CUF Chaahidi Uchimbaji Mafuta Ndani ya Siku 100 appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani