Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF Taifa yafungua milango ya uongozi

Chama cha Wananchi (CUF) kimefungua milango ya kugombea nafasi za uongozi taifa ngazi ya Mwenyekiti, Makamu na Katibu Mkuu utakaotangazwa baadaye baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa Kamati Kuu Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Magereza yafungua milango ya ushirikiano

JESHI la Magereza nchini pamoja na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wametiliana saini makubaliano katika kuboresha na kuimarisha ushirikiano kati ya pande hizo mbili. Akizungumza na wajumbe mbalimbali waliohudhuria...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA WANAHABARI

Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila akifunga Mafunzo ya siku mbili ya Waandishi wa Habari za Mahakama yaliyofanyika jijini Dar es salaam. Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila akitoa ufafanuzi kuhusu Kichwa cha Habari ya Mahakamani kilichoandikwa bila kuzingatia Weledi na moja ya Gazeti la Kila siku wakati wa mafunzo ya siku mbili ya Waandishi wa Habari za Mahakama yaliyofanyika jijini Dar es salaam. Picha/Aron Msigwa –MAELEZO.
Na. Aron Msigwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbeya City yafungua milango kwa wafadhili

UONGOZI wa Mbeya City umezidi kufungua milango kwa makampuni na wafanyabishara kuwekeza  kwao kwa maslahi ya pande zote, hasa soka la Tanzania. Katibu wa Mbeya City, Emmanuel Kimbe akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

Baraza Kuu la Uongozi CUF Taifa lakutana jijini dar es salaam leo

 Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba, akifungua kikao cha siku tatu cha Baraza Kuu la Uongozi CUF Taifa, katika ofisi kuu za Chama hicho, Buguruni Dar es Salaam.   Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba, akiongozana na Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, kuelekea ukumbi wa mikutano katika ofisi kuu za Chama hicho, Buguruni Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi CUF Taifa, wakifuatilia kikao hicho kinachofanyika Ofisi Kuu za CUF...

 

9 years ago

Michuzi

JEMBE FM MWANZA YAFUNGUA MILANGO KWA VYAMA VYA SIASA KUTANGAZA MIKUTANO LIVE.

 Mbio za kampeni ya uchaguzi mkuu 2015 tayari zimeanza. Ni wasaa sasa kwa wagombea wa vyama mbalimbali kupishana huku na kule vijiji kwa vijiji, kata kwa kata, wilaya kwa wilaya, mkoa kwa mkoa wakifanya mkutano ya kampeni za siasa kutambulisha wagombea wao na kuzinadi sera zao al-muradi wapate ridhaa ya wananchi. 


Zoezi hilo ni gumu ila sisi kama jEMBe fM tunalirahisisha!! Sasa ili upate kuwafikia wananchi wengi ndani ya muda mfupi jEMBe fM imefungua milango kwa kutoa huduma ya matangazo ya...

 

11 years ago

Michuzi

CHAMA CHA CUF KUFANYA MKUTANO WA TAIFA KESHO,YAWATAKA WAJUMBE WAKE WATAKAOKOSA NAFASI YA UONGOZI WASIBABAIKE

              Na: Hassan Hamad, OMKR. Wakati Chama Cha Wananchi CUF kikiingia katika uchaguzi Mkuu Taifa kuanzia kesho tarehe 23/06/2014, Viongozi wakuu wa Chama hicho wamewataka wajumbe watakaokosa nafasi za uongozi kutobabaika, na badala yake waendelee kukijenga chama hicho.   Akizungumza katika hafla maalum ya kuagana na wajumbe wa Baraza Kuu pamoja na watendaji wengine wa ngazi mbali mbali, Katibu Mkuu wa Chama hicho Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kila mwanachama ana wajibu...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, ATEUA UONGOZI MPYA WA MUDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.
“ Rais  amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CUF yahimiza wanachama kuwania uongozi

CHAMA cha Wananchi (CUF) Wilaya Bukoba Mjini, mkoani Kagera, kimewataka wanachama na wakereketwa wa chama hicho kuhamasishana kukipa nguvu chama pamoja na kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi katika...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

CUF yashindwa kuweka ukomo wa uongozi


NA WAANDISHI WETU
LICHA ya kufanya marekebisho ya Katiba, Chama cha CUF kimeshindwa kugusa vipengele juu ya ukomo wa uongozi ndani ya chama hicho. 
Badala yake wamefanya mabadiliko ya kuwaongezea madaraka zaidi Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, ambao sasa wana uwezo wa kuteua mjumbe wa kamati ya utendaji ya taifa.
Awali, wajumbe wa Kamati ya Utendaji walikuwa wanatokana na mkutano mkuu wa taifa, ambao ulikuwa unawachagua kwa kuwapigia kura na si kuwateua.
Akitangaza baadhi mabadiliko hayo, Naibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani