Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF yashindwa kuweka ukomo wa uongozi


NA WAANDISHI WETU
LICHA ya kufanya marekebisho ya Katiba, Chama cha CUF kimeshindwa kugusa vipengele juu ya ukomo wa uongozi ndani ya chama hicho. 
Badala yake wamefanya mabadiliko ya kuwaongezea madaraka zaidi Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, ambao sasa wana uwezo wa kuteua mjumbe wa kamati ya utendaji ya taifa.
Awali, wajumbe wa Kamati ya Utendaji walikuwa wanatokana na mkutano mkuu wa taifa, ambao ulikuwa unawachagua kwa kuwapigia kura na si kuwateua.
Akitangaza baadhi mabadiliko hayo, Naibu...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

JK: Afrika iachwe iamue ukomo wa uongozi

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete, ambaye ameshaanza kuaga ndani na nje ya nchi kuashiria kuondoka madarakani, ametaka mataifa ya Afrika yaachiwe yaamue aina ya mfumo wa siasa unaofaa kwa nchi husika, bila kulazimika kuwepo ukomo wa kiongozi kukaa madarakani.

 

11 years ago

Habarileo

CCM yatuhumiwa kuweka mamluki CUF

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mjini Lindi mkoani humo, wamedaiwa kuweka mamluki wao katika Chama cha Wananchi (CUF) ili washinde kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa, zitakazoanza Oktoba mwaka huu na madiwani na wabunge mwakani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CUF yahimiza wanachama kuwania uongozi

CHAMA cha Wananchi (CUF) Wilaya Bukoba Mjini, mkoani Kagera, kimewataka wanachama na wakereketwa wa chama hicho kuhamasishana kukipa nguvu chama pamoja na kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi katika...

 

11 years ago

Mwananchi

CUF Taifa yafungua milango ya uongozi

Chama cha Wananchi (CUF) kimefungua milango ya kugombea nafasi za uongozi taifa ngazi ya Mwenyekiti, Makamu na Katibu Mkuu utakaotangazwa baadaye baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa Kamati Kuu Taifa.

 

11 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi CUF wakutana

 Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi CUF wakiwa katika picha ya pamoja katika makao makuu ya chama hicho Buguruni jiji i Dar es Salaam Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu Maalim Seif wakisalimiana na wajumbe baada ya picha ya pamoja

 

10 years ago

Mtanzania

Chifu Yemba apinga kufukuzwa uongozi CUF

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
MJUMBE wa zamani wa Baraza Kuu la Chama Cha Wananchi (CUF), Chifu Lutayosa Yemba amekata rufaa kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Seif Sharif Hamad kupinga uamuzi wa kufukuzwa akidai kuwa taarifa iliyotolewa na kusababisha uamuzi huo ni ya uongo.
Chifu Yemba ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Shinyanga alikuwa mpinzani wa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba katika kuwania uenyekiti wa chama hicho kwenye uchaguzi ndani ya chama hicho uliofanyika...

 

11 years ago

Michuzi

Baraza Kuu la Uongozi CUF Taifa lakutana jijini dar es salaam leo

 Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba, akifungua kikao cha siku tatu cha Baraza Kuu la Uongozi CUF Taifa, katika ofisi kuu za Chama hicho, Buguruni Dar es Salaam.   Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba, akiongozana na Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, kuelekea ukumbi wa mikutano katika ofisi kuu za Chama hicho, Buguruni Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi CUF Taifa, wakifuatilia kikao hicho kinachofanyika Ofisi Kuu za CUF...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA KUJIUZULU UWENYEKITI, UONGOZI WA CUF ZANZIBAR WATOA TAMKO

Kaimu Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mawasiliano na Umma Mhe. Ismail Jussa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kadhia ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Chama hicha Profesa Ibrahim Lipumba, aliotangaza jana jijini Dar es Salaam kujiuzulu kwake kwa nafasi hiyo na kubaki kama mwanachama tu wa CUF, mkutano huo umefanyika katika Afisi za CUF Vuga Zanzibar
Jana tarehe 6 Agosti, 2015 Profesa Ibrahim Lipumba aliitisha mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacock, mjini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

MAFANIKIO NA CHANGAMOTO ZA CUF KIPINDI CHA MIAKA MITANO VIWE VITENDEA KAZI KWA UONGOZI MPYA


 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasilisha taarifa ya chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita kwenye mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika Ubungo Plaza Dar es Salaam.
 Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CUF Taifa, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akiwasilisha taarifa ya chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita kwenye mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika Ubungo Plaza Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa CUF...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani