Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Afrika iachwe iamue ukomo wa uongozi

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete, ambaye ameshaanza kuaga ndani na nje ya nchi kuashiria kuondoka madarakani, ametaka mataifa ya Afrika yaachiwe yaamue aina ya mfumo wa siasa unaofaa kwa nchi husika, bila kulazimika kuwepo ukomo wa kiongozi kukaa madarakani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

CUF yashindwa kuweka ukomo wa uongozi


NA WAANDISHI WETU
LICHA ya kufanya marekebisho ya Katiba, Chama cha CUF kimeshindwa kugusa vipengele juu ya ukomo wa uongozi ndani ya chama hicho. 
Badala yake wamefanya mabadiliko ya kuwaongezea madaraka zaidi Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, ambao sasa wana uwezo wa kuteua mjumbe wa kamati ya utendaji ya taifa.
Awali, wajumbe wa Kamati ya Utendaji walikuwa wanatokana na mkutano mkuu wa taifa, ambao ulikuwa unawachagua kwa kuwapigia kura na si kuwateua.
Akitangaza baadhi mabadiliko hayo, Naibu...

 

11 years ago

Habarileo

MNEC CCM ataka tabia ya kulaumu iachwe

MJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Issa Sama amewashauri viongozi wa Chama na Serikali mkoani Kagera kuacha tabia ya kulaumu watendaji kuwa wameshindwa kazi yao wakati wao wenyewe hawapiti na kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia ilani ya uchaguzi ya chama hicho tawala.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanawake na uongozi Afrika, duniani

Pamoja na sifa ya kuwa na uwezo, mwanamke lazima pia awe na sifa za kujiamini, kujituma, kutofautisha kati ya uongo na ukweli, kupambanua watu waongo na wasemakweli, kumheshimu mtu kwa sababu ya anachokitoa kwa jamii na siyo vinginevyo, pia kufahamu ulaghai unavyochangia mtu kukosa uadilifu.

 

9 years ago

Habarileo

JK akabidhiwa tuzo ya uongozi bora Afrika

SIKU mbili baada ya kutunukiwa Nishani ya Amani na Utulivu katika Ukanda wa Afrika Mashariki, Rais Jakaya Kikwete jana alikabidhiwa tuzo nyingine ya kimataifa, ya Utawala Bora barani Afrika kwa mwaka 2015.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye: Uongozi bora tatizo Afrika

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema matatizo na migogoro mingi inayotokea barani Afrika inasababishwa na kutokuwapo kwa uongozi na utawala bora.  Sumaye alibainisha kuwa ili kutimiza  sera ya uongozi na...

 

10 years ago

Mwananchi

Dewji atunukiwa tuzo uongozi bora Afrika

Mbunge wa Singida Mjini (CCM) na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya kiongozi bora aliyejitolea kwa kiasi kikubwa katika jamii na kuleta mabadiliko Afrika kwa mwaka 2014.

 

11 years ago

Mwananchi

Machumu mshindi tuzo uongozi Afrika Mashariki

Kampuni inayofanya utafiti wa Utawala Bora katika nchi za Afrika ya CEO Titans Building Nations ya Afrika Kusini, imemtunuku tuzo mbili Mhariri Mtendaji Mkuu wa Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu.

 

5 years ago

CCM Blog

WHO: UONGOZI IMARA CHANZO CHA AFRIKA KUPATA MAAMBUKIZI MADOGO YA CORONA

  Shirika la Afya Duniani (WHO), limesema kuwa uongozi imara wa nchi ni moja kati ya sababu za Afrika kupata kiwango kidogo cha maambukizi ya virusi vipya vya corona (covid-19), tofauti na ilivyotarajiwa.

Afrika ina 1.5% ya visa vyote vya corona vilivyoripotiwa duniai kote, na ina 0.1% ya vifo vya corona duniani kote, kwa mujibu wa WHO.

Mkurugenzi wa WHO Ukanda wa Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti alitoa kauli hiyo alipozungumza na vyombo vya habari mwishoni mwa wiki, kuhusu hali ya maambukizi...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Museveni awasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Uongozi la Afrika

Rais wa Uganda, Mhe.Yoweri Kaguta Museveni akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Said Meck Sadiq mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere, tayari kwa kuhudhuria mkutano wa Jukwaa la Uongozi la Afrika unaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 30 na 31 Agosti, 2015Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Zuhura Bundala akisalimiana na Rais Museveni baada ya kuwasili uwanjani hapo .Mhe. Rais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani