MNEC CCM ataka tabia ya kulaumu iachwe
MJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Issa Sama amewashauri viongozi wa Chama na Serikali mkoani Kagera kuacha tabia ya kulaumu watendaji kuwa wameshindwa kazi yao wakati wao wenyewe hawapiti na kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia ilani ya uchaguzi ya chama hicho tawala.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo01 Aug
MNEC — CCM kusafirisha marehemu
WATU wasio na uwezo wa kusafirisha maiti wa ndugu zao kutoka mjini Iringa kwenda sehemu nyingine nchini wamepata ahueni baada ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) Mahamudu Madenge kutoa gari lake aina ya Fuso kwa kazi hiyo.
11 years ago
MichuziOfisi ya Tawi la CCM Ferry yalizunduliwa na MNEC Phares Magesa leo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nkvdZEQNy6wmiaKiPArpEAADlBYWVWK5KPI5qbuB53MrT2E4fSVHPC5Aj0qI1lLvKawRJ3rYI07b1LMg3yYpxq4e2JH6wqPQ/steven.jpg?width=650)
STEVE NYERERE ATAKA KUIGWA TABIA
11 years ago
Habarileo24 Feb
Bulembo ataka tabia ya kukataa watendaji ikome
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imekemea tabia ya viongozi wa wilaya na mikoa wanaokataa watendaji wanaopelekwa kufanya kazi katika maeneo yao.
10 years ago
Habarileo18 Jul
JK: Afrika iachwe iamue ukomo wa uongozi
RAIS Jakaya Kikwete, ambaye ameshaanza kuaga ndani na nje ya nchi kuashiria kuondoka madarakani, ametaka mataifa ya Afrika yaachiwe yaamue aina ya mfumo wa siasa unaofaa kwa nchi husika, bila kulazimika kuwepo ukomo wa kiongozi kukaa madarakani.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
JK katufunza tabia ya CCM!
KAMA kuna mambo ambayo tunapaswa kumsifu na kumpongeza Rais Jakaya Kikwete, basi ni ujasiri wake wa kutuonyesha tabia ya chama chake, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa kimechoka na hakiwezi tena...
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
CCM iache tabia ya kinyonga
KILA siku katika maisha yangu nimekuwa nikijifunza mbinu mpya za watu wa Zanzibar za kupeleka ujumbe, kufurahia au kukejeli jambo. Hivi karibuni nilipigwa butwaa nilipokuwa katika eneo la Darajani mjini...
10 years ago
Mwananchi02 May
Waziri Sitta alitakiwa awajibike, siyo kulaumu