Ofisi ya Tawi la CCM Ferry yalizunduliwa na MNEC Phares Magesa leo
Uzinduzi wa ofisi ya Tawi la CCM Ferry Kigamboni wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam leo. Mjumbe wa NEC Phares Magesa alikuwa Mgeni rasmi ambapo alizindua tawi, na kuendesha harambee ya kuimarisha Chama kuichumi na kuingiza wanachama wapya
Mjumbe wa NEC Phares Magesa akifungua ofisi za tawi hilo
Mjumbe wa NEC Phares Magesa akitoa kadi kwa mwanachama mpya
Mjumbe wa NEC Phares Magesa akihutubia baada ya kuzindua tawi hilo
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
MNEC Magesa ahutubia mkutano wa hadhara Kigamboni
Magesa akisindikizwa na wanachama na wapenzi wa CCM wakati anawasili katika viwanja Kigamboni kuhutubia mkutano wa hadhara.
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndg. Phares Magesa akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Tua Moyo Kigamboni.
Chama cha Mapinduzi CCM jana tarehe 21/4/2013 kilifanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya tuo moyo Kigamboni, mgeni rasmi katika mkutano huo alikuwa ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndg. Phares Magesa
Mkutano huo...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Balozi Seif Ali Idd awapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni,Bumbini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM
Balozi Seif alisema hayo wakati akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni moja kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi hilo kufuatia ahadi aliyoitoa ya kusaidia harakati za ujenzi wa Jengo hilo mchango alioukabidhi kwa uongozi wa Tawi hilo hapo Ofisini...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Balozi Seif Ali Iddi asaidia vifaa vya ujenzi kwa Ofisi ya CCM Tawi la Kazole, Kaskazini Unguja
10 years ago
Michuzi
MAKADA WA CCM TAWI LA CHINA WAAGWA LEO JIONI



5 years ago
CCM Blog
11 years ago
Habarileo01 Aug
MNEC — CCM kusafirisha marehemu
WATU wasio na uwezo wa kusafirisha maiti wa ndugu zao kutoka mjini Iringa kwenda sehemu nyingine nchini wamepata ahueni baada ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) Mahamudu Madenge kutoa gari lake aina ya Fuso kwa kazi hiyo.
11 years ago
Habarileo05 Jan
MNEC CCM ataka tabia ya kulaumu iachwe
MJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Issa Sama amewashauri viongozi wa Chama na Serikali mkoani Kagera kuacha tabia ya kulaumu watendaji kuwa wameshindwa kazi yao wakati wao wenyewe hawapiti na kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia ilani ya uchaguzi ya chama hicho tawala.
10 years ago
Michuzi
JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KWENYE OFISI ZA LUMUMBA LEO



10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KWENYE OFISI ZA LUMUMBA LEO


