Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MNEC — CCM kusafirisha marehemu

WATU wasio na uwezo wa kusafirisha maiti wa ndugu zao kutoka mjini Iringa kwenda sehemu nyingine nchini wamepata ahueni baada ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) Mahamudu Madenge kutoa gari lake aina ya Fuso kwa kazi hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

MNEC CCM ataka tabia ya kulaumu iachwe

MJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Issa Sama amewashauri viongozi wa Chama na Serikali mkoani Kagera kuacha tabia ya kulaumu watendaji kuwa wameshindwa kazi yao wakati wao wenyewe hawapiti na kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia ilani ya uchaguzi ya chama hicho tawala.

 

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU MHE. CAPT. JOHN KOMBA ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:

Marehemu Kapteni Komba enzi za Uhai wake.

Kesho tarehe 02/3/2015 saa 1 asubuhi misa parokia ya Mt. Bikira Maria Mpalizwa iliopo mbezi , saa 4 asubuhi mwili utaelekea Karimjee kwa ajili ya kuagwa, na saa 8 mchana mwili utaelekea airport tayari kwa safari ya Songea. Mazishi yatafanyika tarehe 3/3/2015 kijijini kwake Lituhi.
Kufuatia Msiba huu shughuli za kamati hazitakuwepo kwa kesho tarehe 2/3/2015. Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwingine.
IMETOLEWA NA;OFISI KATIBU WA BUNGE1.3.2015

 

11 years ago

Michuzi

Ofisi ya Tawi la CCM Ferry yalizunduliwa na MNEC Phares Magesa leo

 Uzinduzi wa ofisi ya Tawi la CCM Ferry Kigamboni wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam leo. Mjumbe wa NEC Phares Magesa alikuwa Mgeni rasmi ambapo alizindua tawi, na kuendesha harambee ya kuimarisha Chama kuichumi na kuingiza wanachama wapya   Mjumbe wa NEC Phares Magesa akifungua ofisi za tawi hilo   Mjumbe wa NEC Phares Magesa akitoa kadi kwa mwanachama mpya  Mjumbe wa NEC Phares Magesa akihutubia baada ya kuzindua tawi hilo

 

11 years ago

GPL

MWALIMU WA MAREHEMU DK. MGIMWA AMUOMBEA USHINDI MGOMBEA WA CCM

Sista Paula Msambwa akimuombea ushindi mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Geodfrey Mgimwa, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo, Tosamaganga, jimboni humo. Sista Paula Msambwa (73), akisalimiana na mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa baada ya kuwasili kwa ajili ya mkutano wa kampeni, katika Ofisi ya CCM, Tosamaganga, leo, Machi 10, 2014. Sista… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mnec adaiwa kuchochea mapigano Kiteto

Mgogoro wa ardhi Wilaya ya Kiteto, jana umechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Martha Umbulla kumshambulia Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM (NEC) wilaya hiyo, Emmanuel Papian kuwa ni mmoja wa wachochezi wa mapigano ya ardhi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

MNEC awataka vijana kufanya kazi

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Tanga (MNEC), Kasimu Kisauji, amewataka walezi na wazazi wilayani humo kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa bidii na kuacha...

 

11 years ago

Dewji Blog

MNEC Magesa ahutubia mkutano wa hadhara Kigamboni

Pic 1

Magesa akisindikizwa na wanachama na wapenzi wa CCM wakati anawasili katika viwanja Kigamboni kuhutubia mkutano wa hadhara.

Pic 2

Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndg. Phares Magesa akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Tua Moyo Kigamboni.

Chama cha Mapinduzi CCM jana tarehe 21/4/2013 kilifanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya tuo moyo Kigamboni, mgeni rasmi katika mkutano huo alikuwa ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndg. Phares Magesa

Mkutano huo...

 

10 years ago

Michuzi

CCM ZANZIBAR YAOMBOLEZA KIFO CHA MWASISI WA ASP MAREHEMU MAKAME MZEE SULEIMAN

Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamepokea kwa mshituko, huzuni na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyewakuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Zanzibar marehemu Makame Mzee Suleiman, kilichotokea usiku wa tarehe  16 Januari, 2015, nyumbani kwake Amani, Unguja.
Marehemu Makame Mzee Suleiman, alizaliwa tarehe 14 Aprili, 1926, katika Kijiji cha Mitakawani, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.
Alipata Elimu ya Msingi katika Skuli ya  Uzini mwaka 1936. Aidha,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya kuimarisha chama ya MNEC manispaa ya Singida, Hassan Mazala

DSC00878

Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida, Hassan Philip Mazala, akizindua tawi la wajasiriamali wa Msimbazi kata ya Mwankoko.

DSC00899

Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida, Hassan Philip Mazala, akihutubia wakazi wa kijiji cha Mwankoko wakati wa ziara yake ya kukiimarisha chama.Wa kwanza kushoto ni katibu CCM manispaa ya Singida, Magdalena Ndwete. DSC00913 Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida,Hassan Philip Mazala ,akimkabidhi kadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani