Mnec adaiwa kuchochea mapigano Kiteto
Mgogoro wa ardhi Wilaya ya Kiteto, jana umechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Martha Umbulla kumshambulia Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM (NEC) wilaya hiyo, Emmanuel Papian kuwa ni mmoja wa wachochezi wa mapigano ya ardhi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 May
DC adaiwa kuchochea mauaji Kiteto
MKUU wa Wilaya (DC) ya Kiteto mkoani Manyara, Martha Umbulla, amedaiwa kuwa chanzo cha kuchochea mauaji ya wakulima na wafugaji. Madai hayo yalitolewa na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai...
10 years ago
Habarileo01 Feb
Asasi zatuhumiwa kuchochea migogoro ya Kiteto
IMEELEZWA kuwa baadhi ya mashirika yasiyokuwa ya kiserikali wilayani Kiteto mkoani Manyara yanachochea migogoro ya ardhi miongoni mwa jamii na makabila yanayoishi wilayani humo.
11 years ago
BBCSwahili18 Jul
Mfalme adaiwa kuchochea vita Kasese
11 years ago
Habarileo17 Jan
Pinda atoa suluhisho la mapigano Kiteto
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewataka wakazi wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, wanaolima kwenye Hifadhi ya Jamii ya Emboley Murtangos, waridhie amri iliyotolewa na Mahakama ya Rufaa ya kuwataka waondoke kwenye eneo hilo wakati Serikali ikitafuta ufumbuzi wa suala la wapi watakwenda.
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Wafugaji 30 mbaroni kwa mapigano Kiteto
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Wafugaji, wakulima Kiteto wauana katika mapigano
10 years ago
TheCitizen19 Nov
We’ll bury many if Kiteto situation isn’t addressed penings in Kiteto?
11 years ago
IPPmedia23 Feb
Inside the Kiteto land crisis 2: Greed for land, dirty politics fuel killing fields of Kiteto
IPPmedia
Last week The Guardian on Sunday brought you a story on the recent land conflict pitting farmers and pastoralists at the Kalikala hamlet in Kiteto District. In this second installment Gerald Kitabu reveals how the unfolding feud led to the killings of more than 10 ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XswnwlaLlAh92Nn5-xKrvxXM6tMarG-Ir8P0aMBGPKaDy-wi*t5y6baPFzM*MbAEuK3R52VnM3XmSvt-zl16hn7tu1LURJkY/3.jpg?width=650)
SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA