Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfalme adaiwa kuchochea vita Kasese

Uganda hivi karibuni imeshuhudia hali ya usalama ikidbitiwa katika mipaka yake na DRC wiki moja tu baada ya zozo wa kikabila kusababisha vifo vya watu 100.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

DC adaiwa kuchochea mauaji Kiteto

MKUU wa Wilaya (DC) ya Kiteto mkoani Manyara, Martha Umbulla, amedaiwa kuwa chanzo cha kuchochea mauaji ya wakulima na wafugaji. Madai hayo yalitolewa na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai...

 

10 years ago

Mwananchi

Mnec adaiwa kuchochea mapigano Kiteto

Mgogoro wa ardhi Wilaya ya Kiteto, jana umechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Martha Umbulla kumshambulia Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM (NEC) wilaya hiyo, Emmanuel Papian kuwa ni mmoja wa wachochezi wa mapigano ya ardhi.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUTANA NA MWANA MFALME WA UINGIREZA PRINCE CHARLES NA KUJADILI VITA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI NCHINI UINGEREZA.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles wakati wa mkutano uliojadili  vita dhidi ya biashara haramu ya wanyamapori huko Clarence House London nchini Uingereza.Mkutano huo uliandaliwa na Prince Charles.(picha kwa hisani ya Clarence House)

 

10 years ago

GPL

SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA

HAMIDA HASSAN
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo. Staa wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Bomu Jipya: Hii ni Vita ya Utamaduni, Ni Vita ya Kutawaliwa Kiakili

AWALI kuna wale waliolalamikia kuhusu maadili hasa pale filamu za kitanzania zilipozuiliwa na watayarishaji wetu wakashindwa kujenga hoja kwa kuuliza kwanini sinema zao zikitamka tu neno la Shoga wanaambiwa watoe lakini za kutoka nje Mashoga wanaonekana, hapa kuna maswali mengi sana.

1. Kwanini balozi wa Korea kwa niaba ya nchi yake alikuwa anatoa tamthilia za kikorea zionyeshwe ITV bure?
2. Kwanini serikali ya China inaingia gharama za kutafsiri tamthilia zao kwa kiswahili na kuzitoa...

 

10 years ago

Vijimambo

Makongoro: Lowassa sikumuona Vita ya Kagera, Labda alikuja baada ya vita kuburudisha wanajeshi

MAKONGORO: Tupimwe afya kwani tunataka kwenda kuchezea Real Madrid au Manchester United? 
CHARLES Makongoro Nyerere (CMN) ni miongoni mwa wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kutaka kuchaguliwa kuwania urais kupitia chama hicho mwaka huu. Raia Mwema lilifanya naye mahojiano wiki hii nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Endelea
-RAIA MWEMA: Kwanini wana CCM wanatakiwa wakuchague wewe uwe mgombea wao na si mwingine miongoni mwa wenzako 41 waliojitokeza kuwania nafasi hiyo?MAKONGORO: Mimi si...

 

9 years ago

Habarileo

Diaspora watakiwa kuchochea maendeleo

WATANZANIA wanaoishi ughaibuni (diaspora) wametakiwa kuwa kichocheo cha kuleta maendeleo ya biashara na uwekezaji katika nchi yao ili kuongeza Pato la Taifa na kuboresha maisha ya mwananchi wa kawaida.

 

10 years ago

Mwananchi

Ufisadi ni mbolea ya kuchochea ugaidi

Huko Nigeria mwanajeshi hunyongwa anapokataa kupigana dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram. Na karibuni huko Kenya ilipitishwa Sheria ya Usalama, ambayo pindi busara haitatumika itaweza ikaipeleka nchi hiyo pabaya na hata kuonekana mbele ya watu wa ndani na nje kwamba ni dola ya kipolisi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchungaji atuhumiwa kuchochea uhalifu Muleba

Watu watatu akiwamo Mchungaji wa Kanisa la Chochea Moto, Elmes Fabian, wanashikiliwa na polisi mkoani Kagera kwa tuhuma za kufanya uhalifu, kufyeka mashamba ya migomba na kuvunja nyumba tatu za wakazi wa Kijiji cha Kishulo wilayani Muleba wakiwatuhumu kwa uchawi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani