Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchungaji atuhumiwa kuchochea uhalifu Muleba

Watu watatu akiwamo Mchungaji wa Kanisa la Chochea Moto, Elmes Fabian, wanashikiliwa na polisi mkoani Kagera kwa tuhuma za kufanya uhalifu, kufyeka mashamba ya migomba na kuvunja nyumba tatu za wakazi wa Kijiji cha Kishulo wilayani Muleba wakiwatuhumu kwa uchawi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA MULEBA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Muleba Kusini, Anna Tibaijuka, baada ya kuwasili Kijiji cha Kyamkwikwi, wilayani Muleba mkoani Kagera leo, kabla ya kupanda boti kwenda Kisiwa cha Bumbile wilayani Muleba, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Kagera, jana, Juni 7, 2015.  Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi Nape Nnauye akimsalimia Mbunge wa Mleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka, baada ya yeye na Katibu Mkuu wa CCM,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wacharuka Muleba

Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu 30 wakazi wa Wilaya ya Muleba kwa tuhuma za vurugu na uharibifu wa mali uliotokea wilayani humo, ikiwemo kuvunja chumba cha kuhifadhia maiti katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mkurugenzi Muleba ajikaanga

KITENDO cha Mkurugunzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Joseph Mkude cha kuwafukuza waandishi wa habari na wananchi katika vikao vya Baraza la Madiwani, kimelaaniwa na Mkuu wa wilaya hiyo...

 

9 years ago

Habarileo

Diaspora watakiwa kuchochea maendeleo

WATANZANIA wanaoishi ughaibuni (diaspora) wametakiwa kuwa kichocheo cha kuleta maendeleo ya biashara na uwekezaji katika nchi yao ili kuongeza Pato la Taifa na kuboresha maisha ya mwananchi wa kawaida.

 

10 years ago

Mwananchi

Ufisadi ni mbolea ya kuchochea ugaidi

Huko Nigeria mwanajeshi hunyongwa anapokataa kupigana dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram. Na karibuni huko Kenya ilipitishwa Sheria ya Usalama, ambayo pindi busara haitatumika itaweza ikaipeleka nchi hiyo pabaya na hata kuonekana mbele ya watu wa ndani na nje kwamba ni dola ya kipolisi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC adaiwa kuchochea mauaji Kiteto

MKUU wa Wilaya (DC) ya Kiteto mkoani Manyara, Martha Umbulla, amedaiwa kuwa chanzo cha kuchochea mauaji ya wakulima na wafugaji. Madai hayo yalitolewa na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mdee amfuata Tibaijuka Muleba

MIEZI michache baada ya mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), kumlipua bungeni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, akidai anamiliki maelfu ya ekari za ardhi...

 

11 years ago

GPL

DC MULEBA AMTIA NDANI DIWANI

Mkuu wa Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, Lembris Kipuyo. MKUU wa Wilaya (DC) ya Muleba, mkoani Kagera, Lembris Kipuyo, amedaiwa kutumia vibaya mamlaka yake na kuwalazimisha polisi kumkamata Diwani wa Kata ya Magatakalutanga, Geofrey Ezekiel (CCM), kwa madai ya kumtishia maisha na kutaka kummwagia tindikali. Habari kutoka Muleba zilisema kuwa  Kipuyo amekuwa akitoa tuhuma mbalimbali dhidi ya diwani huyo na kufikia hatua ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muleba yajivunia ziada ya madarasa

WAKATI wanafunzi wengi wakikwama kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu kutokana na uhaba wa madarasa unaozikabiri baadhi ya halmashauri nchini, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera imetamba kuwa na madarasa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani