DC MULEBA AMTIA NDANI DIWANI
Mkuu wa Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, Lembris Kipuyo. MKUU wa Wilaya (DC) ya Muleba, mkoani Kagera, Lembris Kipuyo, amedaiwa kutumia vibaya mamlaka yake na kuwalazimisha polisi kumkamata Diwani wa Kata ya Magatakalutanga, Geofrey Ezekiel (CCM), kwa madai ya kumtishia maisha na kutaka kummwagia tindikali. Habari kutoka Muleba zilisema kuwa Kipuyo amekuwa akitoa tuhuma mbalimbali dhidi ya diwani huyo na kufikia hatua ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Phiri amtia kufuli Mkude
10 years ago
Mwananchi29 Apr
Tambwe amtia presha Msuva
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4gT-ANtsk1Iy4oJ5D-2XeYWH073m22IAfaCusXfuuJcBecLsdPkuJe5cgVfF2PETIsNoRV86CvuVjy0AItiL1BA/lowassa.gif?width=650)
LOWASSA AMTIA HOFU WEMA!
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
Mwenyekiti CHADEMA amtia presha Nchimbi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Ruvuma, Joseph Lusius Fuime, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Songea mjini mwakani. Fuime ambaye ni Diwani wa Kata ya Mjini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xMCtlOLhuRcycGhFQwAUH56oxMlO5ZV1ElK9eQKOMQqOvrcDg8phra8vAW*dtdGtQS4u*nrz2y2EYF2eWLfv6ty7di2U*0tX/OfisaElimuMsingiWilayayaNkasiBw.MisanaKwanguraakizungumzanaThehabari.com2.jpg)
MWALIMU SHULE YA MSINGI AMTIA MIMBA MWANAFUNZI WAKE
10 years ago
Bongo510 Nov
Sitti: Siwezi kuwazuia watu kuongea, Ridhiwani amtia moyo
10 years ago
CloudsFM13 Apr
Wema Sepetu alia na wanaomsakama kuwa hazai,Riyama Ally amtia moyo
Staa wa Bongo,Wema Sepetu amewafungukia baadhi ya watu wanaomsakama mara kwa mara kuwa hawezi kupata mtoto na kwamba yeye ni mgumba.
Kupitia mtandao wa Instagram Wema aliandika kuwa maneno hao yanamuumiza kama binadamu na angekuwa na uwezo wa kuzaa angezaa muda mrefu na kwamba hana na hawezi kumkufuru Mwenyezi Mungu.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Te1Ug5AOEgA/VXWOTkgIovI/AAAAAAADqYQ/sVcMHHPifis/s72-c/1.jpg)
ZIARA YA KINANA MULEBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Te1Ug5AOEgA/VXWOTkgIovI/AAAAAAADqYQ/sVcMHHPifis/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-r61su-aGVZs/VXWOVg0kSWI/AAAAAAADqYw/v4E42mvpBYQ/s640/2.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Mkurugenzi Muleba ajikaanga
KITENDO cha Mkurugunzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Joseph Mkude cha kuwafukuza waandishi wa habari na wananchi katika vikao vya Baraza la Madiwani, kimelaaniwa na Mkuu wa wilaya hiyo...