Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitti: Siwezi kuwazuia watu kuongea, Ridhiwani amtia moyo

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014 hadi Jumamosi iliyopita, Sitti Mtemvu leo ametoa kauli yake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutangaza kujivua taji hilo. Sitti ambaye taji la alilovua amepewa Lilian Kamazima kupitia twitter aliandika: Siwezi kuwazuia watu kuongea lakini naweza kujizuia kuzungumza — Sitii Abbas (@SitiiAbbasMtevu) November 10, 2014 Naye Mbunge wa Chalinze Ridhiwani […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAFUFU: SIWEZI KUONGEA NA H.BABA MILELE

Stori: Gladness Mallya
LILE bifu lililopo kati ya msanii wa muziki na filamu, Hamis Ramadhani ‘H.Baba’ na Jimmy Mafufu limezidi kushika kasi ambapo Mafufu ameapa kutozungumza na H. Baba milele. H. Baba. Akistorisha na gazeti hili Jimmy alisema anamshangaa H.Baba kusema kuwa anatafuta umaarufu kupitia jina lake jambo ambalo siyo kwani yeye ni maarufu tangu zamani na hawezi kupata umaarufu kupitia kwa mkata...

 

10 years ago

CloudsFM

Wema Sepetu alia na wanaomsakama kuwa hazai,Riyama Ally amtia moyo

Staa wa Bongo,Wema Sepetu amewafungukia baadhi ya watu wanaomsakama mara kwa mara kuwa hawezi kupata mtoto na kwamba yeye ni mgumba.

Kupitia mtandao wa Instagram Wema aliandika kuwa maneno hao yanamuumiza kama binadamu na angekuwa na uwezo wa kuzaa angezaa muda mrefu na kwamba hana na hawezi kumkufuru Mwenyezi Mungu.

Baada ya kuandika maneno hayo msanii wa filamu za Kibongo,Riyama Ally alimtia moyo na kumwambia hivi…. naomba hapa unisikie kwamakini nabii ibrahim alimpata na bii ismail akiwa...

 

9 years ago

Bongo5

Siwezi kuoa kwa kuwaridhisha watu — Izzo Bizness

Izzo

Rapper anayeiwakilisha Mbeya city, Izzo Bizness amesema kuwa hana mpango wa kuoa kwa sasa licha ya kuwa yuko kwenye mahusiano na tayari ni baba wa mtoto mmoja.

Izzo

Tumeshawasikia mastaa wengi ambao wameweka bayana sababu za kwanini hawataki kuoa au kuolewa kwa sasa, lakini kwa upande wa Izzo hii ndio sababu aliyoitoa.

“Umri unaenda lakini ndoa ni mipango, siwezi kuoa kwa kuwaridhisha watu kwa kuwa mimi ni kioo cha jamii, si kitu rahisi kama watu wanavyofikiria ingawa niko kwenye mahusiano”,...

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuwahudumia wagonjwa wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza jambo wakati alipotembelea kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuona namna ambavyo madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo watakavyoweza kutoa huduma kwa wagonjwa hao.
Msimamizi wa kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) Dkt. Stanley Binagi akielezea...

 

10 years ago

Vijimambo

Siwezi Kumjibu Mtu Anayesema Sema Ovyo Kuwa Nakusanya watu Wanishawishi Kugombea Urais

LowassaAkiongea mbele ya wachungaji wa madhehebu mbalimbali ya kikristo waliokwenda kumshawishi agombee urais wa Tanzania, Lowassa amesema hawezi kumjibu mtu aliyebwabwaja katika magazeti kuwa anakusanya watu eti kwa lengo la kupata uungwaji mkono! Amesema akimjibu atampa ujiko hivyo amemdharau!Katika magazeti ya leo yalimnukuu Makamba akidai kuwa kuna watu wanatumia fedha zao kusafirisha na kuwalipa watu ilikujionyesha mbele ya jamii kuwa wanashawishiwa kuomba urais!

 

10 years ago

Michuzi

Sitti Tanzania Foundation inakuletea Chozi la Sitti 02.05.2015 @Mlimani City Conference Hall


Sitti Abbas Mtemvu, jina alilopewa kutoka kwa Bibi yake mzaa Baba, ambae nae wakati wa enzi zake alipewa jina hilo kutokana na umahiri wake wa kughani akifananishwa na msanii na mtunzi maarufu aliepata kutokea akiitwa Siti Binti Saad. Umahiri wa bibi ulimfanya kuwahi kushinda tuzo mbalimbali za sanaa wakati huo katika ukumbi maarufu wa burudani ulioitwa Anatoglou…….Nae alipozaliwa alipewa tunu, tunu ya jina la Sitti.

Haya ni machache latika kitabu chake kipya kikiitwa – Chozi la Sitti……Kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani