Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AMTIA HOFU WEMA!

MAYASA MARIWATA DU! Kazi kwelikweli! Habari ya mjini kwa sasa ni mtoto mzuri Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuwania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), lakini nyuma yake kuna habari zinazodai kuwa mrembo huyo ameingiwa na hofu ya kukatwa jina kama ilivyotokea kwa Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa aliyekuwa mmoja wa watia nia ya kugombea urais, Amani lina...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Wema Sepetu alia na wanaomsakama kuwa hazai,Riyama Ally amtia moyo

Staa wa Bongo,Wema Sepetu amewafungukia baadhi ya watu wanaomsakama mara kwa mara kuwa hawezi kupata mtoto na kwamba yeye ni mgumba.

Kupitia mtandao wa Instagram Wema aliandika kuwa maneno hao yanamuumiza kama binadamu na angekuwa na uwezo wa kuzaa angezaa muda mrefu na kwamba hana na hawezi kumkufuru Mwenyezi Mungu.

Baada ya kuandika maneno hayo msanii wa filamu za Kibongo,Riyama Ally alimtia moyo na kumwambia hivi…. naomba hapa unisikie kwamakini nabii ibrahim alimpata na bii ismail akiwa...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA: SINA HOFU KUKATWA JINA CCM

Waziri Mkuu Mstaafu na mtangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono wana-CCM  na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma. WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka na swala la kukatwa jina lake katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi(CCM), kwani anaamini chama chao kitatenda haki kwa kurudisha jina lake kuwa mgombea urais wa Tanzania.… ...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wolper Awatoa Hofu Mashabiki, Asisitiza Kubaki Kuwa Jacqueline Lowassa

Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper ambaye amejipambanua siasa kuwa anaunga mkono madadiliko kupitia UKAWA na kushiriki katika harakati za kumpigia kampeni Mh Edward Lowassa ambaye ni mgombea urasi kupitia UKAWA kwa tiketi ya CHADEMA, amewatoa hofu mashabiki wao kuwa hakuna bifu miongoni mwao kwani siasa zikiisha wataendelea na maisha yao kama kawaida tofauti na baadhi ya mashabiki wanavyodhani hasa baada ya wasanii hao wa bongo movies walivyotafautiana kimitazamo ya kisiasa kwakipindi...

 

9 years ago

GPL

WEMA ADAI LOWASSA ANGESHINDA, ANGEHAMA NCHI

Staa mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Isaac Sepetu. Imelda mtema Maneno kuntu! Staa mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Isaac Sepetu amefungua kinywa chake na kusema kuwa endapo Mgombea wa Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa angeshinda kuwa Rais wa Tanzania katika uchaguzi uliopita, bila hiyana yeye angehama nchi. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Wema alisema kuwa anamshukuru Mungu kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe amtia presha Msuva

Dar es Salaam. Ni dhahiri sasa mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe amemkaba kooni kiasi cha kumtia presha mwenzake, Simon Msuva katika vita ya kuwania tuzo ya ufungaji bora msimu huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri amtia kufuli Mkude

Dar es Salaam. Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri amemshauri kiungo wake  chipukizi, Jonas Mkude asiondoke ndani ya timu hiyo kwa sasa na  kumwambia akienda Yanga amekwisha.

 

11 years ago

GPL

DC MULEBA AMTIA NDANI DIWANI

Mkuu wa Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, Lembris Kipuyo. MKUU wa Wilaya (DC) ya Muleba, mkoani Kagera, Lembris Kipuyo, amedaiwa kutumia vibaya mamlaka yake na kuwalazimisha polisi kumkamata Diwani wa Kata ya Magatakalutanga, Geofrey Ezekiel (CCM), kwa madai ya kumtishia maisha na kutaka kummwagia tindikali. Habari kutoka Muleba zilisema kuwa  Kipuyo amekuwa akitoa tuhuma mbalimbali dhidi ya diwani huyo na kufikia hatua ya...

 

9 years ago

Bongo Movies

Faiza: Tuwe Tunahofu ya Mungu, Wanaomponda Lowassa na Wema

Saa nyingine ili uone uzito wajambo inabidi uvae viatu vya mwenzio- kwa kweli imefika wkt najisikia vibaya kuhusu kusoma ugonjwa wa LOWASA, watu wameona ndio fimbo ya kumchapia kuhusu ugonjwa wake kwa kweli sijisikii vizuri na sioni kama sawa

Pia katika pita pita huku insta nimeona Wema na mbwa na Zari na mtoto na maneno ya kashfa juu yake,  jamani watanzania mnamatatizo gani kuhusu maisha ya watu!

 Kwa nini unamsema vibaya mtu juu ya kilema chake ? Kwa nini usimsema mapungufu yake bila...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti CHADEMA amtia presha Nchimbi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Ruvuma, Joseph  Lusius Fuime, ametangaza nia ya  kugombea ubunge katika Jimbo la Songea mjini mwakani. Fuime  ambaye ni Diwani wa Kata ya Mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani