WEMA ADAI LOWASSA ANGESHINDA, ANGEHAMA NCHI
![](http://api.ning.com:80/files/SJHyuKr55TPRiA2ExdOfW0qahuYXarMggSJFYF8c-VB*FraFk4TTwsWoBD8wyDfz8sZjjkg4nA2xtUtp*9bSNTWrVeICknCb/wema_sepetu991.jpg?width=650)
Staa mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Isaac Sepetu. Imelda mtema Maneno kuntu! Staa mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Isaac Sepetu amefungua kinywa chake na kusema kuwa endapo Mgombea wa Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa angeshinda kuwa Rais wa Tanzania katika uchaguzi uliopita, bila hiyana yeye angehama nchi. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Wema alisema kuwa anamshukuru Mungu kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-7LpErGbzI4I/VeFJL4wOzUI/AAAAAAAA0Io/mpZjIh6PSr0/s72-c/mwakyembe.jpg)
Mwakyembe Amshambulia LOWASSA Kuhusu Sakata la Richmond Mwigulu Nchemba naye Adai Lowassa Ni Mpiga Dili Tangu Kijana
![](http://2.bp.blogspot.com/-7LpErGbzI4I/VeFJL4wOzUI/AAAAAAAA0Io/mpZjIh6PSr0/s640/mwakyembe.jpg)
Mwakyembe Akihutibia UmatiAliyekuwa mwenyekiti wakamati teule ya bunge ya kuchunguza kashfa ya mkataba tata wa Richmond iliyomuondoa madarakani aliyekuwa waziri mkuu Mh Edward Lowassa, Mh Harrsion Mwakyembe amewahakikishia watanzania kuwa walijiridhisha pasipo shaka kuhusika kwa Edward Lowassa katika sakata la Richmond na kwamba hawakumsingizia kama anavyojitetea hivi sasa.Mwakyembe aliyasema hayo mbele ya maelfu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa mgombea urais wa CCM, Dk John...
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Hatimaye!! Wema afunguka kuhusu Diamond na Zari. "Adai anawapenda sanaaa"
Hatimaye Kwa mara ya kwanza Wema Sepetu amezungumza kuhusu uhusiano wa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na mrembo wa Uganda, Zari The Boss Lady ambao sasa ni ‘talk of East Africa’.
Wema alianza kwa kuwasifia na kusema anaipenda couple yao,
“Aisee nawapenda they make such a good couple, yeah”alipoulizwa na Soudy Brown wa U Heard ya XXL kama haoni wivu alijibu, “Wivu wa nini mimi and Diamond we were not meant to be it didn’t work basi, so I wish him all the best and I wish him...
10 years ago
Bongo512 Apr
Wema Sepetu adai hana uwezo wa kuzaa, post yake yawaliza wengi!
9 years ago
Bongo521 Oct
Majuto awataka vijana kwenda Hijja, adai nchi itakuwa na amani
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Maige adai kuwa na Serikali tatu nchi itaingia maajabu ya dunia
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UUHZoZFGT4gT-ANtsk1Iy4oJ5D-2XeYWH073m22IAfaCusXfuuJcBecLsdPkuJe5cgVfF2PETIsNoRV86CvuVjy0AItiL1BA/lowassa.gif?width=650)
LOWASSA AMTIA HOFU WEMA!
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.
Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...
10 years ago
Mtanzania30 May
Lowassa aipeleka nchi Arusha
ABRAHAMU GWANDU NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
NYUMBA za kulala wageni katika Jiji la Arusha na viunga vyake zimeanza kufurika kutokana na makundi ya watu yanayowasili jijini hapa kushuhudia mwanzo wa ‘Safari ya Matumaini’ ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, anayoianza rasmi leo.
Mwanasiasa huyo mwenye ushawishi mkubwa miongoni mwa makada wa CCM walioonyesha nia ya kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho, anatarajiwa kutangaza nia leo kuanzia saa 8 mchana katika...