Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diaspora watakiwa kuchochea maendeleo

WATANZANIA wanaoishi ughaibuni (diaspora) wametakiwa kuwa kichocheo cha kuleta maendeleo ya biashara na uwekezaji katika nchi yao ili kuongeza Pato la Taifa na kuboresha maisha ya mwananchi wa kawaida.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

'Tumieni maonesho ya utamaduni kuchochea maendeleo'

JAMII imetakiwa kutumia maonesho ya utamaduni kupata elimu jinsi ya kuingia katika soko la biashara la ndani na nje ya nchi na kuchochea maendeleo. Hayo yalisemwa leo, Dar es Salaam na Mratibu wa Biashara wa Tan-Tanzania, Deusdedit Kizito, kwenye maonesho ya Utamaduni yaliyozinduliwa juzi na yanayoendelea hadi Mei 25, Siku ya Uhuru wa Afrika.

 

10 years ago

Vijimambo

WANADIASPORA WAHIMIZWA KUCHOCHEA MAENDELEO, BALOZI MULAMULA

Watanzania wanaoishi ughaibuni (diaspora) wametakiwa kuwa kichocheo cha kuleta maendeleo ya biashara na uwekezaji katika nchi yao ili kuongeza pato la taifa na kuboresha maisha ya mwananchi wa kawaida. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula wakati wa kufungua kongamano la wafanyabiashara linalofanyika Birmingham, Uingereza tarehe 4 na 5 Septemba 2015.Aliwaasa washiriki wa kongamano hilo kulitumia kama jukwaa la...

 

10 years ago

Mwananchi

JK : Maadili kwenye mifumo ya maendeleo Ni njia ya kuchochea ukuaji wa uchumi

Makamu wa Rais wa Marekani Joe Biden aliwahi kusema kuwa kushinda vita dhidi ya rushwa siyo  kunadhihirisha uwapo wa utawala bora, bali ujasiri na uzalendo wa viongozi wa nchi husika.

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF) KWA MWAKA 2015/16 — 2018/19

Mfuko ulianzishwa kwa sheria namba 16 ya mwaka 2009 iliyotungwa na bunge na kupitishwa tarehe 21 Agost 2009. Mfuko utaitwa Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo - Constituencies Development Catalyst Fund (CDCF).Lengo la mfuko huu ni miradi ya maendeleo kwenye kila jimbo la Uchaguzi, kwa hiyo itapokea fedha na kuchangia kwenye miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye Jimbo  kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya miradi hiyo.Fedha ya mfuko inatolewa na serikali kuu kila mwaka wa fedha kulingana...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU KIONGOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WADAU WA KUCHOCHEA MAENDELEO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue  akifungua kikao kazi cha wadau cha kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa kujenga na kuimarisha Stadi za kazi katika Sekta zinazochochea ukuaji wa  uchumi TanzaniaNaibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Consolata Mgimba akizungumza katika kikao kazi cha wadau cha kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa kujenga na kuimarisha Stadi za kazi katika Sekta zinazochochea ukuaji Uchumi Tanzania. Washiriki wa kikao kazi cha wadau cha kuandaa Mkakati wa Kitaifa...

 

10 years ago

Habarileo

Diaspora watakiwa kujiunga na Westad

WATANZANIA wanaoishi nje ya nchi, wametakiwa kujiunga na huduma ya WESTAD, inayotolewa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuchangia kiasi cha dola 300 kwa mwaka na kupata huduma za msingi kutoka mfuko huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Diaspora, Serikali kujadili maendeleo katika kongamano

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali inaandaa kongamano la siku mbili litakalojadili mustakabali wa Watanzania kutoka nchi zote duniani ikiwa ni pamoja na kukutanisha kampuni na wafanyabiashara mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kuchangia maendeleo yao

Dar es Salaam.  Naibu Waziri Wanawake, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wananchi kujitolea kuchangia huduma za jamii ili kujiletea maendeleo yao.

 

9 years ago

StarTV

Uwekezaji wa mapato ya mafuta, gesi watakiwa maendeleo ya watanzania

Kuongezeka kwa uwezo wa kiuchumi wa kuzalisha na kuwahudumia watanzania katika sekta ya elimu, afya na maendeleo ya jamii kutategemea uwekezaji wa mapato yanayotokana na rasilimali za mafuta na gesi.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Adolf Mkenda amesema ili rasilimali hizo ziwe endelevu na zenye manufaa kwa watanzania ni lazima zibadilishwe na kuwekezwa katika mitaji mingine.

Katika mkutano wa wadau wa gasi na mafuta jijini Dar es salaam Adolf Mkenda Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani