WANADIASPORA WAHIMIZWA KUCHOCHEA MAENDELEO, BALOZI MULAMULA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Sp4P1tYLLXA/VeokIfcjFGI/AAAAAAAAhps/tKYrWbOaTJM/s72-c/DSC_0131.jpg)
Watanzania wanaoishi ughaibuni (diaspora) wametakiwa kuwa kichocheo cha kuleta maendeleo ya biashara na uwekezaji katika nchi yao ili kuongeza pato la taifa na kuboresha maisha ya mwananchi wa kawaida. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula wakati wa kufungua kongamano la wafanyabiashara linalofanyika Birmingham, Uingereza tarehe 4 na 5 Septemba 2015.Aliwaasa washiriki wa kongamano hilo kulitumia kama jukwaa la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-5K9UxoRWN2o/VbtBDbIr7oI/AAAAAAAD13w/HieDpZkcNPo/s72-c/Balozi%2BMulamula%2BJUKWAA%2BAD.jpg)
BALOZI LIBERATA MULAMULA KUAGANA NA WANADIASPORA LIVE NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO JUMATATU
![](http://1.bp.blogspot.com/-5K9UxoRWN2o/VbtBDbIr7oI/AAAAAAAD13w/HieDpZkcNPo/s640/Balozi%2BMulamula%2BJUKWAA%2BAD.jpg)
Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini maoni yako kwa...
10 years ago
MichuziBalozi Mulamula azungumza na wanaDiaspora katika kongamano la mapambano dhidi ya gojwa la saratani duniani
9 years ago
Habarileo07 Sep
Diaspora watakiwa kuchochea maendeleo
WATANZANIA wanaoishi ughaibuni (diaspora) wametakiwa kuwa kichocheo cha kuleta maendeleo ya biashara na uwekezaji katika nchi yao ili kuongeza Pato la Taifa na kuboresha maisha ya mwananchi wa kawaida.
11 years ago
Habarileo22 May
'Tumieni maonesho ya utamaduni kuchochea maendeleo'
JAMII imetakiwa kutumia maonesho ya utamaduni kupata elimu jinsi ya kuingia katika soko la biashara la ndani na nje ya nchi na kuchochea maendeleo. Hayo yalisemwa leo, Dar es Salaam na Mratibu wa Biashara wa Tan-Tanzania, Deusdedit Kizito, kwenye maonesho ya Utamaduni yaliyozinduliwa juzi na yanayoendelea hadi Mei 25, Siku ya Uhuru wa Afrika.
10 years ago
VijimamboBALOZI LIBERATA MULAMULA AKIBIDHIWA OFISI RASMI NA BALOZI JOHN HAULE
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/uET7oOr9ZQQ/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zcfen7qB52M/VHahf8MGGKI/AAAAAAAGzr8/WtF599PtJ_4/s72-c/unnamed%2B(20).jpg)
BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE
10 years ago
VijimamboMHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE
Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...
10 years ago
VijimamboBalozi Mulamula azungumza na Balozi wa Ufaransa nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak, alipokuja kujitambulisha na kumpongeza Balozi Mulamula kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu. Pia walizungumzia masuala mbalimbali ya kimaendeleo na kukuza mahusiano ya kibiashara kati ya nchi hizi mbili
Katibu Mkuu Balozi Mulamula akimwonyesha Balozi Berak Kitabu kinachozungumzia maendeleo ya Mji wa Kilwa
.
Afisa Mambo ya Nje, Bi. Felisita...