Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Mulamula azungumza na wanaDiaspora katika kongamano la mapambano dhidi ya gojwa la saratani duniani


Mhe.Liberatus MulamulaBalozi wa Muungano ya Jamhuri ya Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberatus Mulamula, alipozungumza  katika kongamano  la mapambano dhidi ya gojwa la saratani duniani, aliwataka wanaDiaspora wa nchi za kiAfrika kuwa mstari wa mbele kwa kushirikiana na watalaamu wa vitengo vya afya duniani ili kuboresha upatikana wa huduma za afya barani Afrika. Mhe. Balozi Mulamula, ambaye pia ndie aliyekuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo alizungumzia faida za kutumia Teknolojia  ili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

WANADIASPORA WAHIMIZWA KUCHOCHEA MAENDELEO, BALOZI MULAMULA

Watanzania wanaoishi ughaibuni (diaspora) wametakiwa kuwa kichocheo cha kuleta maendeleo ya biashara na uwekezaji katika nchi yao ili kuongeza pato la taifa na kuboresha maisha ya mwananchi wa kawaida. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula wakati wa kufungua kongamano la wafanyabiashara linalofanyika Birmingham, Uingereza tarehe 4 na 5 Septemba 2015.Aliwaasa washiriki wa kongamano hilo kulitumia kama jukwaa la...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI LIBERATA MULAMULA KUAGANA NA WANADIASPORA LIVE NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO JUMATATU

JUKWAA LANGU kutoka Kwanza Production, Vijimambo Radio na Border Media Group. Kipindi kipya kinachorushwa LIVE kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12 kamili jioni (6:00pm) EST kwa saa za Marekani ya Mashariki.JUKWAA LANGU ni kipindi kiinachozungumzia mambo mbalimbali yanayotokea Duniani ikiwemo maswala ya siasa na kuangalia mstakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi na kupata fulsa ya kuongea na watu mbalimbali ndani na nje ya Marekani

 Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini maoni yako kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Mulamula azungumza na Balozi wa Ufaransa nchini


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak, alipokuja kujitambulisha na kumpongeza Balozi Mulamula kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu. Pia walizungumzia masuala mbalimbali ya kimaendeleo na kukuza mahusiano ya kibiashara kati ya nchi hizi mbili

Katibu Mkuu Balozi Mulamula akimwonyesha Balozi Berak Kitabu kinachozungumzia maendeleo ya Mji wa Kilwa
.
Afisa Mambo ya Nje, Bi. Felisita...

 

11 years ago

Michuzi

MH.BALOZI MULAMULA AZUNGUMZA NA WAGOMBEA WA DMV NA KAMATI YA UCHAGUZI

IMG_8020Balozi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Washington Dc na Mexico Liberata Mula mula akiwa kwenye picha ya pamoja na wagombea uongozi DMV, wajumbe wa bodi na wajumbe wa tume ya uchaguzi kwenye ofisi za ubaloi Washington Dc Ijumaa Julai 18,2014. IMG_7900Mh.Balozi akifungua kikao hicho. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

MSIBWETEKE KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA.


Na WAMJW- DSM

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Rashid Mfaume ametoa wito kwa wananchi, hususan Jijini Dar es Salaam kutobwete na kuwataka kuendelea kuchukua hatua za tahadhari ili kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona katika kipindi hiki.

Dkt. Rashid Mfaume ametoa wito huo leo, wakati akipokea msaada wa barakoa 17,500 sawa na maboksi 350, na vipukusi (sanitizers) lita 700 ambayo ni sawa na madumu 140 yenye ujazo wa lita 5 kutoka kwa Shirika lisilo Lakiserikali la...

 

10 years ago

Michuzi

IPTL/PAP ya wekeza katika mapambano dhidi ya Malaria

Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ambayo ni kampuni tanzu ya kampuni ya Pan Africa Power Solutions (T) Limited imetoa msaada wa vyandarua 700 vyenye viwatilifu kwa vituo vya afya vilivyopo kwenye kata za Wazo, Kunduchi na Kawe kwenye wilaya ya Kinondoni katika kuadhimisha ya siku ya Malaria duniani. Akizungumza kwa niaba ya Uongozi wa IPTL na PAP, Katibu na mshauri mkuu wa sheria wa kampuni hizo, Bw. Joseph Makandege alisema: “IPTL inakubaliana kabisa na...

 

10 years ago

Dewji Blog

IPTL/PAP yawekeza katika mapambano dhidi ya Malaria

11

Kina mama wajawazito na watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni sehemu ya walengwa wakuu wa msaada wa vyandarua vyenye viwatilifu ulipotolewa na makampuni ya IPTL na PAP. Hapa kina mama wenye watoto wadogo wakiwa kwenye foleni ya kupokea msaada kata ya Wazo.

1

Kina baba hawakuwa nyuma katika kuunga mkono jitihada za kupambana na Malaria kwa kuungana na kina mama kupokea msaada wa vyandarua vyenye viwatilifu uliotolewa na Kampuni za IPTL/PAP katika kata za Wazo na Kundunchi.

6

Mama huyu...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI IMEENDELEA KUTEKELEZA MAKUBALIANO YAKIMATAIFA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA VVU.



Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akieleza jambo, wakati wa kikao cha Kamati za Kudumu za Bunge za Masuala ya UKIMWI na Huduma za Maendeleo ya Jamii kuhusu mafanikio ya utekelezaji wa makubaliano ya kimataifa ya afua za kinga dhidi ya maambukizi ya VVU.Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Masuala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani