MH.BALOZI MULAMULA AZUNGUMZA NA WAGOMBEA WA DMV NA KAMATI YA UCHAGUZI
Balozi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Washington Dc na Mexico Liberata Mula mula akiwa kwenye picha ya pamoja na wagombea uongozi DMV, wajumbe wa bodi na wajumbe wa tume ya uchaguzi kwenye ofisi za ubaloi Washington Dc Ijumaa Julai 18,2014.
Mh.Balozi akifungua kikao hicho. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
UCHAGUZI DMV: MREJESHO WA KIKAO CHA WAGOMBEA NA BALOZI MULAMULA
Libe akifuatilia mkutano Ubalozini
10 years ago
VijimamboBalozi Mulamula azungumza na Balozi wa Ufaransa nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak, alipokuja kujitambulisha na kumpongeza Balozi Mulamula kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu. Pia walizungumzia masuala mbalimbali ya kimaendeleo na kukuza mahusiano ya kibiashara kati ya nchi hizi mbili
Katibu Mkuu Balozi Mulamula akimwonyesha Balozi Berak Kitabu kinachozungumzia maendeleo ya Mji wa Kilwa
.
Afisa Mambo ya Nje, Bi. Felisita...
11 years ago
MichuziBALOZI LIBERATA MULAMULA APIGA KURA YAKE DMV
11 years ago
GPLBALOZI LIBERATA MULAMULA APIGA KURA YAKE DMV
10 years ago
MichuziBalozi Mulamula azungumza na wanaDiaspora katika kongamano la mapambano dhidi ya gojwa la saratani duniani
11 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM DMV, BALOZI LIBERATA MULAMULA MGENI RASMI
Meza kuu kutoka kushoto ni Ismail (katibu wa Vijina CCM DMV) George Sebo (mwanyekiti CCM DMV) Mhe. Liberata Mulamula (Balozi wa Tanzania nchini Marekani), Mama Kimolo (kitengo cha UWT) na Phanuel Ligate (CCM tawi la California)
11 years ago
GPLKAMATI YA VIJIMAMBO YAKUTANA NA BALOZI LIBERATA MULAMULA
11 years ago
Dewji Blog27 Aug
Kamati ya Vijimambo yakutana na Mhe. Balozi Liberata Mulamula
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongoza kikao cha kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 4 ya Vijimambo ambayo imebeba ujumbe wa kutangaza maliasili na utalii wa Tanzania na kukemea Ujangili wa wanyama pori na misitu sherehe inayofanywa kwa ushirikiano wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani pamoja na Jumuiya ya Watanzania DMV mgeni Rasmi atakuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiwa pamoja nae...
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUBWA WA KIROHO KUENDELEA LEO JUMAMOSI DMV, BALOZI LIBERATA MULAMULA MGENI RASMI
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10