Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STEVE NYERERE ATAKA KUIGWA TABIA

MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefunguka kuwa anajitahidi sana kuonyesha maadili mema ili kuhakikisha wanachama wake wote wanamuiga. Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Akistorisha na paparazi wetu juzikati, Steve alisema kuna mambo mengi ambayo alikuwa akiyafanya kabla ya kuwa rais wa klabu hiyo lakini sasa anajiepusha nayo ili kuhakikisha anajenga picha nzuri na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE AGUSWA NA UTENDAJI KAZI WA KINANA, ATAKA AWE MFANO WA KUIGWA

 Rais Kikwete akihutubia maelfu ya watu waliofika kwenye sherehe hizo.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete leo amevunja ukimya na kuzungumzia suala la mawaziri waliotuhumiwa na wananchi kuwa mizigo wakati wa ziara za Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na baadhi ya wajumbe wa sekretarieti katika mikoa kadhaa nchini mwishoni mwa mwaka jana.
"Najua wapo baadhi ya watanzania, walitaka Mawaziri waliotajwa kuwa ni mizigo wafukuzwe kazi, na kwa vile halikufanyika basi suala hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Steve Nyerere: Wamenikomoa

MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Steve Nyerere: Mimi si shoga

MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amekerwa na alichosema uzushi dhidi yake kwamba ni shoga. Kupitia ukurasa wake wa facebook, msanii huyo alisema anachukizwa na kasumba ya baadhi...

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE AKOMBWA IPAD

Na Mwandishi Wetu
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Steve Mangere ‘Steve Nyerere’ amejikuta akimwaga machozi baada ya kuibiwa Ipad yenye thamani ya Sh. Mil 1. Steve Mangere ‘Steve Nyerere’. Tukio hilo lilitokea juzikati katika Ukumbi wa jengo la Akemi, Golden Jubilee, Posta jijini Dar ambapo Steve alikwenda kuhudhuria uzinduzi wa sinema ya mwigizaji, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ na...

 

10 years ago

Michuzi

steve nyerere atangaza nia

MSANII wa filamu nchini Steven Mengere 'Steve Nyerere' (kulia) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni jijini Dar es salaam, huku akiwataka Watanzania wenzake kujitokeza kuandikisha katika daftari la wapiga kura, ili wasikose kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.  Akizungumza katika mkutano maalum wa kutangaza nia na kuhamasisha watu kujiandikisha, alisema kujiandikisha ni haki ya kila Mtanzania hivyo kwa vijana na wazee hakuna sababu ya...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AFUNGUKIA MADAI

Mwandishi Wetu STAA wa uchekeshaji na filamu Bongo, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia madai ya kujiondoa Chama Cha Mapinduzi na kujiunga na umoja wa UKAWA akisema kushindwa kwake katika kura za maoni hakuwezi kuondoa heshima yake kwa Mwenyekiti wake, Jakaya Kikwete. ...Soma zaidi===> http://bit.ly/1P5OMBB

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AAIBIKA UWANJANI

Dustan Shekidele, Morogoro
NYOTA wa kuigiza sauti za watu maarufu aliye pia mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wikiendi iliyopita alijikuta akiaibika kwa kuzomewa na kupopolewa kwa chupa za maji na mashabiki wa Klabu ya Simba baada ya kuingia uwanjani na demu aliyevaa ‘kihasarahasara’. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’akiwa na...

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE AMUONYA WEMA

Stori: Shani Ramadhani MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Stive Nyerere’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka umaarufu bila kazi. Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Stive Nyerere’. Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za kila kukicha kwani hazina maana kama kazi ya sanaa aliyoichagua kama njia ya kumuingizia kipato.…
...

 

9 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Alishwa Sumu

STAA wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kula chakula chenye sumu na kulazimika kukimbizwa katika Hospitali ya Hurbert Kairuki Memorial iliyopo Mikocheni jijini Dar, Amani  linakupa ripoti kamili.

Kwa mujibu wa chanzo, Steve alifika hotelini (jina linahifadhiwa) kupata chakula cha jioni na marafiki zake ambapo baada ya kula kidogo akaanza kulalamika tumbo linamuuma.

“Baada ya kula chakula alianza kushika tumbo na kulalamika kwamba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani