Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK katufunza tabia ya CCM!

KAMA kuna mambo ambayo tunapaswa kumsifu na kumpongeza Rais Jakaya Kikwete, basi ni ujasiri wake wa kutuonyesha tabia ya chama chake, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa kimechoka na hakiwezi tena...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CCM iache tabia ya kinyonga

KILA siku katika maisha yangu nimekuwa nikijifunza mbinu mpya za watu wa Zanzibar za kupeleka ujumbe, kufurahia au kukejeli jambo. Hivi karibuni nilipigwa butwaa nilipokuwa katika eneo la Darajani mjini...

 

11 years ago

Habarileo

MNEC CCM ataka tabia ya kulaumu iachwe

MJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Issa Sama amewashauri viongozi wa Chama na Serikali mkoani Kagera kuacha tabia ya kulaumu watendaji kuwa wameshindwa kazi yao wakati wao wenyewe hawapiti na kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia ilani ya uchaguzi ya chama hicho tawala.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Idd awaasa wana CCM Zanzibar kuacha tabia ya kupuuza mambo yanayowahusu,ili wasije jutia baadae

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif kizungumza na Viongozi wa Kamati ya Siasa ya Tawi la CCM Upenja.Kushoto yake ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini “ B” Nd. Hilika Khamis na kulia yake ni Mwenyekiti wa Tawi la CCM Upenja Nd.Daudi Hasnuu Khamis.Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Siasa na Mabalozi wa Nyumba Kumi wa Tawi la CCM Upenja wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi hayupo pichani alipokuwa akizungumza nao kwenye ukumbi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani