Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chifu Yemba apinga kufukuzwa uongozi CUF

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
MJUMBE wa zamani wa Baraza Kuu la Chama Cha Wananchi (CUF), Chifu Lutayosa Yemba amekata rufaa kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Seif Sharif Hamad kupinga uamuzi wa kufukuzwa akidai kuwa taarifa iliyotolewa na kusababisha uamuzi huo ni ya uongo.
Chifu Yemba ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Shinyanga alikuwa mpinzani wa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba katika kuwania uenyekiti wa chama hicho kwenye uchaguzi ndani ya chama hicho uliofanyika...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Chifu Yemba: Kampeni siyo majukwaani tu

Kampeni si majukwaani pekee, ndivyo kinavyoamini chama cha Alliance For Democratic Change (ADC).

 

9 years ago

Mwananchi

Chifu Yemba, mpinzani wa Lipumba anayewania urais

Baada ya jitihada zake za kumuondoa Profesa Ibrahim Lipumba kwenye uenyekiti wa chama cha CUF, Chifu Lutayosa Yemba sasa ameanza safari mpya ya kuelekea Ikulu, akipeperusha bendera ya Alliance for Democratic Change (ADC).

 

11 years ago

Habarileo

Mwakilishi CUF apinga mbwa Uwanja wa Ndege

MWAKILISHI wa Chonga, Abdalla Juma Abdalla (CUF) amepinga mbwa kutumika kunusa mizigo ya abiria katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar. Abdalla alikuwa akichangia taarifa ya Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Mawasiliano na Ujenzi, inayohusisha miundo mbinu ya uwanja huo na bandari.

 

5 years ago

CCM Blog

CHIFU ADAM WA PILI ASIMIKWA RASMI KUWA CHIFU WA WAHEHE

   Chief Adam wa Pili Adam Abdul Adam Sapi Mkwawa Mwamuyinga jana alisimikwa rasmi na kukabidhiwa miiko ya utawala wa kabila la Kihehe baada ya kufikisha umri wa kuongoza.

Hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Kalenga Mkoani Iringa ambapo Umoja Wa Machief Tanzania UMT umeshiriki.
Chief Adam wa Pili anachukua nafasi ya baba yake, Chief Abdul Mfwimwi aliyefariki mwaka 2005.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atawazwa kuwa chifu msaidizi wa waluguru na chifu kingalu huko kinole, morogoro, apewa jina la Chidukila

 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14, akijiandaa kumtawaza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Kinole, kata ya Makuyuni, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.  Rais Kikwete pia alipewa jina la CHIDUKILA, lenye kumaanisha "muibukaji", kwa maana ya kwamba Rais Kikwete ana uhuru wa kuibuka kijijini Kinole bila taarifa wala kusubiri kualikwa.
 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CUF yahimiza wanachama kuwania uongozi

CHAMA cha Wananchi (CUF) Wilaya Bukoba Mjini, mkoani Kagera, kimewataka wanachama na wakereketwa wa chama hicho kuhamasishana kukipa nguvu chama pamoja na kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi katika...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

CUF yashindwa kuweka ukomo wa uongozi


NA WAANDISHI WETU
LICHA ya kufanya marekebisho ya Katiba, Chama cha CUF kimeshindwa kugusa vipengele juu ya ukomo wa uongozi ndani ya chama hicho. 
Badala yake wamefanya mabadiliko ya kuwaongezea madaraka zaidi Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, ambao sasa wana uwezo wa kuteua mjumbe wa kamati ya utendaji ya taifa.
Awali, wajumbe wa Kamati ya Utendaji walikuwa wanatokana na mkutano mkuu wa taifa, ambao ulikuwa unawachagua kwa kuwapigia kura na si kuwateua.
Akitangaza baadhi mabadiliko hayo, Naibu...

 

11 years ago

Mwananchi

CUF Taifa yafungua milango ya uongozi

Chama cha Wananchi (CUF) kimefungua milango ya kugombea nafasi za uongozi taifa ngazi ya Mwenyekiti, Makamu na Katibu Mkuu utakaotangazwa baadaye baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa Kamati Kuu Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani