CCM yatuhumiwa kuweka mamluki CUF
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mjini Lindi mkoani humo, wamedaiwa kuweka mamluki wao katika Chama cha Wananchi (CUF) ili washinde kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa, zitakazoanza Oktoba mwaka huu na madiwani na wabunge mwakani.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV05 Dec
CCM kuwachukulia hatu Mamluki.
Na Oliver Motto, Iringa.
Siku kadhaa baada ya kampeni za uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa kuanza rasmi, Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa kimedai kugundua mbinu chafu – zinazofanywa na baadhi ya wanachama wake mamluki.
CCM kinasema katika hilo hakitavumilia kwani kitahakikisha kinawatimua viongozi na wanachama wote watakaobainika kutumiwa na vyama vingine kukiangusha chama hicho katika uchaguzi huo wa serikali za mitaa.
Hassani Mtenga katibu wa CCM Mkoa wa Iringa...
9 years ago
Habarileo12 Nov
‘Waliopewa ubunge upinzani wakiwa CCM ni mamluki’
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema viongozi wa jumuiya zake walioteuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika ubunge wa Viti Maalumu, walikuwa mamluki na maharamia kwa kukiuka kiapo cha chama.
11 years ago
Uhuru Newspaper24 Jun
CUF yashindwa kuweka ukomo wa uongozi
NA WAANDISHI WETU
LICHA ya kufanya marekebisho ya Katiba, Chama cha CUF kimeshindwa kugusa vipengele juu ya ukomo wa uongozi ndani ya chama hicho.
Badala yake wamefanya mabadiliko ya kuwaongezea madaraka zaidi Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, ambao sasa wana uwezo wa kuteua mjumbe wa kamati ya utendaji ya taifa.
Awali, wajumbe wa Kamati ya Utendaji walikuwa wanatokana na mkutano mkuu wa taifa, ambao ulikuwa unawachagua kwa kuwapigia kura na si kuwateua.
Akitangaza baadhi mabadiliko hayo, Naibu...
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
CCM Lindi yakutana kuweka mikakati mizuri
![](http://2.bp.blogspot.com/-ajWlQPI8wtU/VLNPq92YKeI/AAAAAAAAVaQ/leYpib_tnHQ/s1600/2.jpg)
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa na Mwenyekiti aliyeshinda uchaguzi Hamid Rashid Namtonda akitoa salaam za kushukuru wakazi wa kijiji cha...
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
GSK yatuhumiwa kuwahonga madaktari
11 years ago
Habarileo07 Feb
Afya yatuhumiwa kuongoza kwa rushwa
IDARA ya Afya katika halmashauri za wilaya mkoani Iringa inadaiwa kuongoza kwa kuwa na matukio mengi ya rushwa ikilinganishwa na idara nyinginezo. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imetaja idara hiyo kuongoza katika kipindi kati ya Julai 2012 na Juni mwaka jana kwa kuwa na taarifa 16 za matukio ya rushwa.
10 years ago
StarTV09 Jan
Serikali yatuhumiwa kushindwa kutekeleza mapendekezo.
Na Lilian Mtono,
Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete ameapisha safu ya uongozi ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wakati mwenyekiti mstaafu wa Tume hiyo Jaji Kiongozi Mstaafu Amir Manento akiishutumu Serikali kushindwa kutekeleza baadhi ya mapendekezo ya Tume hiyo hatua inayochukuliwa kama ni uvunjwaji wa haki za msingi za binadamu.
Kuapishwa kwa Tume hiyo kunakuja wakati ambapo wanaharakati wa haki za binadamu wakilalamikia kucheleweshwa kwa uteuzi wa makamishna hao na kupunguza...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-m0wIEoMH_u8/VgN7L38XRuI/AAAAAAAAEHM/R1yXW_vA5Rw/s72-c/IMG_0077.jpg)
Serikali ya CCM Yaahidi Kuweka Umeme Vijiji Vyote Tanzania Ndani ya Miaka Miwili Madarakani
![](http://3.bp.blogspot.com/-m0wIEoMH_u8/VgN7L38XRuI/AAAAAAAAEHM/R1yXW_vA5Rw/s640/IMG_0077.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-TnZStOx6i40/VgN7_LIt7AI/AAAAAAAAEHo/QP53ldCHiHU/s640/IMG_0126.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xIto0wTqyME/VgN6e6Yb5II/AAAAAAAAEG0/tBZDFfmfhGg/s640/IMG_0046.jpg)