Serikali yatuhumiwa kushindwa kutekeleza mapendekezo.
Na Lilian Mtono,
Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete ameapisha safu ya uongozi ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wakati mwenyekiti mstaafu wa Tume hiyo Jaji Kiongozi Mstaafu Amir Manento akiishutumu Serikali kushindwa kutekeleza baadhi ya mapendekezo ya Tume hiyo hatua inayochukuliwa kama ni uvunjwaji wa haki za msingi za binadamu.
Kuapishwa kwa Tume hiyo kunakuja wakati ambapo wanaharakati wa haki za binadamu wakilalamikia kucheleweshwa kwa uteuzi wa makamishna hao na kupunguza...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania23 May
Serikali yatakiwa kukiri kushindwa kutekeleza ahadi zake
Na Debora Sanja, Dodoma
MBUNGE wa Ole, Rajab Mbarouk Mohamed (CUF), ameitaka Serikali kukiri kushindwa kutekeleza ahadi za Rais Jakaya Kikwete kwa kuwa muda wa utekelezaji wake umekwisha.
Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, alisema kitendo cha Serikali kushindwa kukamilisha ahadi ya Kikwete ya kujenga barabara ya kilomita 2.5 ya Singano kwa Mkocho hadi Kivinje ni dalili ya kushindwa kwa Serikali hiyo.
“Kwanini Serikali hii ya CCM sasa isiwathibitishie wananchi kwamba imeshindwa...
10 years ago
StarTV18 Sep
Tanzania yatakiwa kutekeleza mapendekezo 107 ya  Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu
Tanzania umeitaka Serikali kuyafanyia kazi mapendekezo 107 yaliyotolewa na wadau wanaosimamia haki za binadamu.
Wamesema ni muhimu Serikali ikubali mapendekezo hayo ili kuhakikisha sheria mbalimbali zinatekelezwa na kuzipa fursa asasi za kiraia kufuatilia na kuwasaidia wananchi kuzifahamu sheria hizo.
Akizindua Ripoti ya Utekelezaji wa mapendekezo 107 ya Haki za Binadamu Tanzania, Mkurugenzi wa Tume za Haki za Binadamu, Onesmo- Olengulumwa amesema Serikali imeyatekeleza mapendekezo hayo kwa...
11 years ago
Mwananchi03 Mar
TEC: Bunge lisikashifu mapendekezo ya Serikali tatu
5 years ago
Michuzi
MATUKIO YA UWASILISHAJI WA MAPENDEKEZO BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2020/2021


11 years ago
Habarileo05 Oct
Serikali yatwishwa lawamani kwa miradi kushindwa
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana ameijia juu Wizara ya Uchukuzi kwa kushindwa kutekeleza miradi kadhaa ya miundombinu ya uchukuzi katika Mkoa wa Tanga.
11 years ago
Mwananchi03 May
Serikali yashindwa kutekeleza bajeti 2013/14
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Serikali yakiri kushindwa kudhibiti vifo vya wajawazito
SERIKALI imekiri kushindwa kudhibiti kwa kiwango kikubwa vifo vya wajawazito nchini jambo linalohatarisha zaidi maisha ya wanawake na kushindwa kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo ya Milenia ifikapo mwaka 2015. Kauli...
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Mbunge ahoji serikali kushindwa kukabili mazalia ya mbu
MBUNGE wa Viti Maalum, Mkiwa Kimwanga (CUF) ameihoji Serikali kwa kushindwa kupuliza dawa ya kuua mbu na mazalia yake katika mikoa yote Tanzania. Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, Mbunge...
10 years ago
Habarileo25 Feb
Washauri serikali kutekeleza sera ya ujirani mwema
WADAU na vijana mkoani Kilimanjaro, wameishauri serikali kutekeleza sera ya ujirani mwema ya mwaka 1993-1994, ambayo inazungumzia majukumu ya hifadhi za utalii katika kuchangia maendeleo kwenye maeneo yanayozunguka hifadhi hizo.