Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yatwishwa lawamani kwa miradi kushindwa

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akisalimiana na mkazi wa Kata ya Marungu, Justine Lampert wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Tanga mjini juzi. (Na Mpigapicha Wetu).KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana ameijia juu Wizara ya Uchukuzi kwa kushindwa kutekeleza miradi kadhaa ya miundombinu ya uchukuzi katika Mkoa wa Tanga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Serikali lawamani kuchelewesha ugawaji viwanja kwa waathirika wa mafuriko.

Na Kasilda Mgeni Mulimila,

Morogoro.

Zaidi ya waathirika 200 wa mafuriko yaliyotokea Januari mwaka jana wilayani Kilosa mkoani Morogoro wameilalamikia Serikali kwa kushindwa kupima na kuwagawia viwanja kwa wakati hali ambayo imewafanya washindwe kujenga makazi ya kudumu na kuondokana na adha ya kukaa kwenye mahema ambayo sasa yamechakaa.

 

Malalamiko hayo yanakuja kutokana na mvua kuanza kunyesha wakati mahema yakiwa yamechanika na mvua kuwanyeshea hali ambayo inawafanya waishi katika...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali lawamani

Jakaya Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete

NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM

WANANCHI walio wengi wameonekana kuwa na imani ndogo na maofisa wa Serikali za Mitaa na Vijiji katika kushughulikia masuala yao.

Pia sekta ya maji na umeme ni miongoni mwa taasisi rasmi za serikali ambazo wananchi hawana imani nazo.

Kwamba wananchi wanaona taasisi hizo zinawarudisha nyuma kimaendeleo kwa sababu zimeshindwa kutatua kero zinazowakabili.

Kutokana na hali hiyo, hawaoni kama wanao uwezo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali lawamani kuutosa uchoraji

WADAU wa sanaa ya uchoraji wameilalamikia serikali na jamii kwa ujumla kutothamini kazi zao, hivyo kurudisha nyuma maendeleo ya tasnia hiyo yenye umuhimu mkubwa kama alama mojawapo ya utamaduni wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Syria yaingia lawamani

Mataifa ya Ufaransa na Uingereza yailaumu Serikali ya Syria kwa kuanguka kwa mazungumzo ya amani kati yake na upinzani huko Geneva

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali ya mtaa Stop Over lawamani

WAKAZI wa Kimara Stop Over, Kata ya Saranga, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, wamemlalamikia Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Stop Over kwa kuwatoza fedha pindi wanapohitaji barua kutoka...

 

10 years ago

StarTV

Watendaji wa Serikali Ulanga waingia lawamani.

Na Kasilda Mgeni Mulimila,

Ulanga-Morogoro.

Kanisa katoliki jimbo la Ulanga mkoani Morogogo limeeleza kusikitishwa na hatua ya watendaji wa Serikali wilayani humo kuingilia maeneo yanayomilikiwa kisheria na kanisa hilo na kuamua kujenga makazi ya kudumu.

 

Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Ulanga Mhashamu Josephat Ndirobo alitoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Dokta Rajabu Rutengwe kwenye mkutano uliohusisha viongozi mbalimbali wa dini, Serikali na wa kisiasa.

 

Mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

NABII JOSHUA AIPONGEZA SERIKALI KWA KUFANIKISHA MIRADI MINGI YA MAENDELEO



 Muonekano wa Soko Kuu la Morogoro ambalo limejengwa kisasa. (Picha na Sauti ya Uponyaji)Kiongozi Mkuu wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Joshua Aram Mwantyala (kushoto) akimpongeza Mhandisi wa Manispaa ya Morogoro,Juma Ngwisu kwa kazi nzuri ya usimamizi wa Soko Kuu la Morogoro na miradi mingine. (Picha na Sauti ya Uponyaji).

 

10 years ago

StarTV

Changamoto Serikali za Mitaa, Ofisi ya Waziri Mkuu lawamani.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es salaam.

 

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimedai kinakusudia kutoa maamuzi na kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia kwa kushindwa kudhibiti kasoro zilizojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

Katika uchaguzi huo ulifanyika Desemba 14 mwaka huu chama hicho kinadai kufanyiwa hujuma zilizochangia kujitokeza baadhi ya kasoro ikiwemo ya kutokamilika kwa vifaa vya kupigia kura katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Tanzania yasaini mkataba wa Tsh 137.5 Billion na AfDB kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo

IMG_8734

Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. Aly Abou- Sabaa wakisaini mkataba wa Tsh 137.5 Billion kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo kwa serikali ya Tanzania. Sherehe hiyo ilifanyika hapa Mjini Abidjan- Ivory coast.

IMG_8750

Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw.Aly Abou – Sabaa na Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani