Serikali ya mtaa Stop Over lawamani
WAKAZI wa Kimara Stop Over, Kata ya Saranga, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, wamemlalamikia Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Stop Over kwa kuwatoza fedha pindi wanapohitaji barua kutoka...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Mwenyekiti wa Mtaa Ilazo lawamani
WAKAZI wa Mtaa wa Ilazo, Kata ya Ipagala, Manispaa ya Dodoma Mjini, wamemlalamikia Mwenyekiti wa mtaa huo, Samwel Chimalusotola (CCM) kwa kuwatoza fedha pindi wanapohitaji huduma katika serikali hiyo. Wakizungumza...
10 years ago
Mtanzania03 Sep
Serikali lawamani
![Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Jakaya-Kikwete.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete
NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM
WANANCHI walio wengi wameonekana kuwa na imani ndogo na maofisa wa Serikali za Mitaa na Vijiji katika kushughulikia masuala yao.
Pia sekta ya maji na umeme ni miongoni mwa taasisi rasmi za serikali ambazo wananchi hawana imani nazo.
Kwamba wananchi wanaona taasisi hizo zinawarudisha nyuma kimaendeleo kwa sababu zimeshindwa kutatua kero zinazowakabili.
Kutokana na hali hiyo, hawaoni kama wanao uwezo...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Serikali lawamani kuutosa uchoraji
WADAU wa sanaa ya uchoraji wameilalamikia serikali na jamii kwa ujumla kutothamini kazi zao, hivyo kurudisha nyuma maendeleo ya tasnia hiyo yenye umuhimu mkubwa kama alama mojawapo ya utamaduni wa...
11 years ago
BBCSwahili16 Feb
Serikali ya Syria yaingia lawamani
10 years ago
StarTV08 Jan
Watendaji wa Serikali Ulanga waingia lawamani.
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Ulanga-Morogoro.
Kanisa katoliki jimbo la Ulanga mkoani Morogogo limeeleza kusikitishwa na hatua ya watendaji wa Serikali wilayani humo kuingilia maeneo yanayomilikiwa kisheria na kanisa hilo na kuamua kujenga makazi ya kudumu.
Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Ulanga Mhashamu Josephat Ndirobo alitoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Dokta Rajabu Rutengwe kwenye mkutano uliohusisha viongozi mbalimbali wa dini, Serikali na wa kisiasa.
Mkuu...
10 years ago
Habarileo05 Oct
Serikali yatwishwa lawamani kwa miradi kushindwa
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana ameijia juu Wizara ya Uchukuzi kwa kushindwa kutekeleza miradi kadhaa ya miundombinu ya uchukuzi katika Mkoa wa Tanga.
10 years ago
StarTV16 Dec
Changamoto Serikali za Mitaa, Ofisi ya Waziri Mkuu lawamani.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es salaam.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimedai kinakusudia kutoa maamuzi na kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia kwa kushindwa kudhibiti kasoro zilizojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Katika uchaguzi huo ulifanyika Desemba 14 mwaka huu chama hicho kinadai kufanyiwa hujuma zilizochangia kujitokeza baadhi ya kasoro ikiwemo ya kutokamilika kwa vifaa vya kupigia kura katika...
10 years ago
StarTV10 Jan
Serikali lawamani kuchelewesha ugawaji viwanja kwa waathirika wa mafuriko.
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Zaidi ya waathirika 200 wa mafuriko yaliyotokea Januari mwaka jana wilayani Kilosa mkoani Morogoro wameilalamikia Serikali kwa kushindwa kupima na kuwagawia viwanja kwa wakati hali ambayo imewafanya washindwe kujenga makazi ya kudumu na kuondokana na adha ya kukaa kwenye mahema ambayo sasa yamechakaa.
Malalamiko hayo yanakuja kutokana na mvua kuanza kunyesha wakati mahema yakiwa yamechanika na mvua kuwanyeshea hali ambayo inawafanya waishi katika...
10 years ago
Bongo530 Oct
Said Fela agombea uenyekiti wa serikali za mtaa