TEC: Bunge lisikashifu mapendekezo ya Serikali tatu
>Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), imetoa tamko ikitaka Bunge Maalumu la Katiba kuepuka kukashifu mapendekezo ya muundo wa Serikali tatu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Aug
Mzimu wa serikali tatu bado walitesa Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Serikali tatu ‘matakwa ya wananchi’, Warioba aliambia Bunge la #Katiba [VIDEO]
11 years ago
Dewji Blog07 Jul
TEC yatoa tamko kuhusu Bunge Maalumu la Katiba
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Tarcisius Ngalalekumtwa.
Na Mwandishi wetu
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania limetoa tamko la kuwataka wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba(BMK) kuwatendea haki watanzania kwa kujadili maoni ya katiba yaliyowasilishwa na tume iliyoundwa ya kukusanya maoni na kuacha kuacha ubinafsi uwe wa mtu mmoja au wa vikundi kwa ajili ya kuunda katiba bora kwa watanzania.
Akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Rais wa...
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Bunge la #Katiba: 'Wachache' wakomalia serikali tatu, 'Wengi' walia na mbili [VIDEO]
11 years ago
Michuzi16 Jun
11 years ago
Habarileo25 Feb
Mapendekezo posho Bunge yatua kwa JK
KAMATI iliyoteuliwa kushughulikia nyongeza ya posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, imewasilisha mapendekezo kwa Rais Jakaya Kikwete, ikisubiri maelekezo ya kuongezwa au la.
10 years ago
BBCSwahili11 Jul
Bunge launga mkono mapendekezo Ugiriki
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Mapendekezo ya Kamati za Bunge Maalumu yatakayovunja Muungano
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Mapendekezo ya Kamati za Bunge Maalumu yanayodhoofisha Muungano — 2