CCM kuwachukulia hatu Mamluki.
Na Oliver Motto, Iringa.
Siku kadhaa baada ya kampeni za uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa kuanza rasmi, Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa kimedai kugundua mbinu chafu – zinazofanywa na baadhi ya wanachama wake mamluki.
CCM kinasema katika hilo hakitavumilia kwani kitahakikisha kinawatimua viongozi na wanachama wote watakaobainika kutumiwa na vyama vingine kukiangusha chama hicho katika uchaguzi huo wa serikali za mitaa.
Hassani Mtenga katibu wa CCM Mkoa wa Iringa...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 Jul
CCM yatuhumiwa kuweka mamluki CUF
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mjini Lindi mkoani humo, wamedaiwa kuweka mamluki wao katika Chama cha Wananchi (CUF) ili washinde kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa, zitakazoanza Oktoba mwaka huu na madiwani na wabunge mwakani.
9 years ago
Habarileo12 Nov
‘Waliopewa ubunge upinzani wakiwa CCM ni mamluki’
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema viongozi wa jumuiya zake walioteuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika ubunge wa Viti Maalumu, walikuwa mamluki na maharamia kwa kukiuka kiapo cha chama.
10 years ago
Michuzi
CCM KUWACHUKULIA HATUA KALI WANAOSAMBAZA HABARI ZA UZUSHI HASA WANAOWANIA NAFASI YA URAIS.

Itakumbukwa Kamati Kuu iliyopita ya tarehe 13/01/2015, iliyoketi Kisiwandui Zanzibar ilipitisha ratiba ya shughuli za kawaida za Chama kwa mwaka 2015 na kupanga kushughulikia ratiba ya mchakato wa uteuzi wa wagombea wa CCM vikao vijavyo.
Pamoja...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
CHADEMA Pwani wawaruka ‘mamluki’
WAJUMBE wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Pwani, wamelikana kundi la watu waliojitokeza hivi karibuni wakijiita viongozi wa chama hicho na kufanya mikutano yenye...
10 years ago
Mtanzania13 Mar
Yanga ‘yawajadili’ mamluki wa Simba
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa timu ya Yanga ulikuwa na kikao kizito na wenyeviti wa matawi ya klabu hiyo, moja ya hoja iliyojadiliwa ni baadhi ya wachezaji wao kudaiwa kuwa ni mamluki wa watani zao Simba.
Kikao hicho kimefanyika siku chache mara baada ya Yanga kufungwa bao 1-0 dhidi ya mtani wake, Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, huku baadhi ya wachezaji wakihusishwa kuihujumu timu yao na kupelekea kila mara kushindwa kuwafunga wekundu hao.
Baadhi ya wachezaji...
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
Mamluki marufuku ligi ya UVCCM Ikungi
Mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu (IFA) wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Mika Likapakapa (wa pili kulia) akizungumza kwenye kikao cha pamoja kati ya viongozi wa IFA, waamuzi, makepteni wa timu 26 za kata na baadhi ya maafisa tarafa.Kikao hicho kilikuwa maalum kwa ajili ya kupanga ratiba ya ligi ya UVCCM inayotarajiwa kuanza Agosti 2 mwaka huu. Wa kwanza kulia ni mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Ikungi, John Mathias na kushoto ni Omary Nkhangaa, Mratibu wa Ligi na Christopher Mwendwa,...
11 years ago
Mtanzania21 Sep
Profesa Safari: Chadema haijamaliza mamluki

Profesa Abdallah Safari
NA ELIZABETH MJATTA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Profesa Abdallah Safari, amesema hana uhakika kama wameweza kumaliza mamluki ndani ya chama hicho, bali wamejitahidi kuwadhibiti kupitia Uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni.
Akizungumza na MTANZANIA Jumapili katika mahojiano maalumu, Profesa Safari ambaye aliwafananisha mamluki na kansa, alisema wanaweza kuharibu chama endapo watapata mwanya wa kufahamu mambo muhimu ya chama.
“Mamluki ni watu wabaya,...
10 years ago
Vijimambo
WALIOTUHUMIWA MAMLUKI CHADEMA WAVULIWA UONGOZI.

Na Bryceson Mathias, Kilosa.NGUVU ya Umma ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kata ya Ruaha, Jimbo la Mikumi, Wilaya ya Kilosa, Morogoro, wamewavua Uongozi waliokuwa Viongozi wao na kuweka Kamati ya Muda (Task Force), kwa madai ya kuwa Mamluki ndani ya Chama chao.
Waliovuliwa Uongozi na kubaki na Uanachama ni pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa Kata, George Banda, Katibu, Ally Mponda, Katibu Mwenezi, William Temu, Mweka Hazina, Aurelia Mnunga, na Mjumbe wa Kamati Tendaji, Mwalimu...
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Mamluki wamng’oa Dino kwenye filamu
MSANII wa siku nyingi, Dennis Sweya ’Dino’, amesema wingi wa watu walioingia katika tasnia ya filamu huku wengine wakiwa hawana ufahamu wa kihivyo (mamluki) katika tasnia hiyo wamefanya soko kuwa...