Afya yatuhumiwa kuongoza kwa rushwa
IDARA ya Afya katika halmashauri za wilaya mkoani Iringa inadaiwa kuongoza kwa kuwa na matukio mengi ya rushwa ikilinganishwa na idara nyinginezo. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imetaja idara hiyo kuongoza katika kipindi kati ya Julai 2012 na Juni mwaka jana kwa kuwa na taarifa 16 za matukio ya rushwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Mkurugenzi wa Wizara ya Afya kortini kwa tuhuma za rushwa
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Dk Hoseah achaguliwa kuongoza mapambano ya rushwa A.Mashariki
11 years ago
Dewji Blog02 May
Wajawazito walalamikia ‘Rushwa’ Kituo cha Afya Simambwe
Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe, Salome Mwaipopo (kulia) akizungumza na mwandishi wa habari hizi. Kushoto ni mmoja wa manesi wa kituo.
Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Simambwe, Salome Mwaipopo (kulia) akizungumza na mwandishi wa habari hizi.
Sehemu ya jengo la Kituo cha Afya Simambwe, likitoa huduma.
Mbeya Vijijini
BAADHI ya akinamama na wanakijiji wa baadhi ya vijiji vya Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wamewalalamikia wauguzi na wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXxMhvbjiKj3hxcTRog*OGK9BYDqf1LYBGl8V54E6WnG7VEQe-fWQ26fgGfJr4PnVan5iOVRKrz9QZ6wmSgnTbYu/1MgangaMkuuwaKituochaAfyaSimambweSalomeMwaipopokuliaakizungumzanamwandishiwahabarihizi..jpg)
WAJAWAZITO WALALAMIKIA ‘RUSHWA’ KITUO CHA AFYA SIMAMBWE
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
GSK yatuhumiwa kuwahonga madaktari
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PSTz7Qbt8yU/Xm54mpl4JHI/AAAAAAALjww/rR1Mfo55lygl0fEbLkBjleTVGMiUqgKrwCLcBGAsYHQ/s72-c/03c006a1-dc07-42e4-95c9-bc205f2cd875.jpg)
Serikali yatoa wito wananchi kujiepusha na rushwa wakati huduma za afya-Dkt. Subi
Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
SERIKALI imetoa wito kwa wananchi kuacha kutoa rushwa kwa wahudumu wa afya pindi wanapopatiwa huduma kwani kutoa kutoa huduma ni wajibu wao.
Hayo ameyasema Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Wanawake Wanataka Nini inayoratibiwa na Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania ikiwa ni maadhimisho ya Utepe Mweupe Tanzania ambayo hufanyika Kila Machi...
10 years ago
StarTV09 Jan
Serikali yatuhumiwa kushindwa kutekeleza mapendekezo.
Na Lilian Mtono,
Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete ameapisha safu ya uongozi ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wakati mwenyekiti mstaafu wa Tume hiyo Jaji Kiongozi Mstaafu Amir Manento akiishutumu Serikali kushindwa kutekeleza baadhi ya mapendekezo ya Tume hiyo hatua inayochukuliwa kama ni uvunjwaji wa haki za msingi za binadamu.
Kuapishwa kwa Tume hiyo kunakuja wakati ambapo wanaharakati wa haki za binadamu wakilalamikia kucheleweshwa kwa uteuzi wa makamishna hao na kupunguza...
11 years ago
Habarileo02 Jul
CCM yatuhumiwa kuweka mamluki CUF
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mjini Lindi mkoani humo, wamedaiwa kuweka mamluki wao katika Chama cha Wananchi (CUF) ili washinde kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa, zitakazoanza Oktoba mwaka huu na madiwani na wabunge mwakani.
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Luena: Nilijifunza kwa kuongoza kwa siku moja