Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF wabadili Katiba ili kuungana na Ukawa

>Chama cha Wananchi (CUF), kimefanya mabadiliko ya Katiba yake ikiwa ni maandalizi ya kushirikiana na vyama vingine vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) katika uchaguzi ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nape abeza Ukawa kuungana

Siku moja baada ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutangaza kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya urais na ubunge majimboni, CCM kimebeza hatua hiyo kikisema viongozi hao hawawezi kukaa zizi moja.

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WANANCHI CUF CHASISITIZA KUWA KATIKA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI ( UKAWA )

1Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Bara, Magdalena Sakaya, akizungumza na waandishishi wa habari, Dar es Salaam leo kuhusu masuala ya kuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Uchaguzi na Mipango wa CUF, Shaweji Mketo na kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Habari wa CUF Taifa, Abdul Kambaya.2Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.

 

10 years ago

Vijimambo

LIPUMBA NDIE MGOMBEA PEKEE CUF ATAKAE WAKILISHA CUF KUGOMBEA URAIS UKAWA


Chama cha wananchi CUF kimesema kuwa siku ya Jumapili ya Tarehe 14 mwezi huu wa sita ndiyo siku rasmi ya kumkabidhi rasmi form ya kuomba kugombea urais wa jamhuri ya muunganoi wa Tanzania mwenyekiti wa chama hicho Profesa IBRAHIM LIPUMBA baada ya kujitokeza mwenyewe katika chama hicho kuomba nafasi hiyo licha ya chama hicho kutangaza kwa muda mrefu watu kujitokeza kutangaza nia.Naibu Mkurugenzi Uchaguzi na Mipango wa CUF, Shaweji Mketo akizngumza na wanahabari mbalimbali makao makuu ya chama...

 

11 years ago

Mwananchi

KATIBA: Dk Mwinyi awasihi Ukawa Z’bar kurejea bungeni kuitetea Katiba

>Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amewahimiza wabunge wa kundi la Ukawa upande wa Zanzibar kurejea na kushiriki kwenye Bunge la Katiba ili kumaliza kero na malalamiko katika muundo  wa Muungano kupitia rasimu mpya na kuipa nafasi Zanzibar iweze kujiimarisha kiuchumi.

 

10 years ago

TheCitizen

CUF: Who says we’ve ditched Ukawa?

Dar es Salaam. The Civic United Front (CUF) yesterday sent conflicting signals saying though it was still an active member of the Coalition of People’s Constitution (Ukawa), the decision on whether it will continue working with the other opposition parties who comprise this grouping would be made by its supreme council.

 

10 years ago

Habarileo

CUF waibipu Ukawa

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba.CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetangaza Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba, kuwa ni mmoja kati ya wanachama wa chama hicho, atakayewania nafasi ya Urais.

 

10 years ago

GPL

CUF: HATUJAJITOA UKAWA

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema hakikushiriki kikao cha jana cha UKAWA kutokana na sababu za kikatiba za ndani ya chama hicho na si kwamba wamejitoa. Taarifa hiyo imetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, Mhe. Magdalena Sakaya aliyesema kuwa kwa sasa wamekuwa na vikao vinavyojadili kwa upana juu ya namna watakavyogawana madaraka endapo wakishinda uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba. Sakaya amesema wanachokifanya ni sawa...

 

10 years ago

Mwananchi

CUF yaiweka Ukawa pagumu

Baraza Kuu la Uongozi wa Taifa la Chama cha Wananchi (CUF), limeutaka uongozi wa chama hicho kusitisha uamuzi wa kumpata mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia vyama vinavyounda Ukawa hadi suala hilo litakapojadiliwa kikatiba ndani ya chama hicho Julai 25.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani