CUF yaitisha kikao cha dharura
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeitisha kikao cha dharura cha Kamati ya Utendaji ya Taifa na Baraza Kuu la Uongozi ili kutafuta mwanachama atakayekaimu nafasi ya Profesa Ibrahim Lipumba katika kipindi cha mpito.
Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika Jumapili Agosti 9, mwaka huu ingawa haijaelezwa mahali kitakapofanyika.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Unguja jana, Kaimu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano ya Umma, Ismail Jussa Ladhu, alisema CUF...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRais Kikwete aongoza kikao cha Dharura cha wakuu wa nchi za EAC
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula kwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakati kiongozi huyo wa Uganda alipowasili ikulu jijini Dar es...
10 years ago
Mwananchi26 Jun
CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura
10 years ago
BBCSwahili28 May
FIFA:Blatter aongoza kikao cha dharura
5 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA KIKAO CHA DHARURA CHA HALI YA MAZINGIRA KATIKA MIGODI YOTE NCHINI
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Mauaji Sudan Kusini UN wakaa kikao cha dharura
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Rooney aitisha kikao cha dharura Man United
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA RUKWA ENG. STELLA MANYANYA AONGOZA KIKAO CHA DHARURA CHA KAMATI YA USHAURI YA MKOA RCC NA KUPITISHA MAPENDEKEZO YA KUANZISHA MAJIMBO MAWILI MAPYA YA UCHAGUZI KATIKA WILAYA ZA SUMBAWANGA NA KALAMBO
Majimbo hayo yatazaliwa katika majimbo yaliyopo hivi sasa ambapo kwa jimbo la Kwela ambalo lipo katika Wilaya...
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziCHIKAWE AZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO YA DHARURA CHA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM