Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF yanyooshewa vidole Zanzibar

VYAMA vya siasa visiwani Zanzibar vimeshutumu uamuzi wa Chama cha Wananchi (CUF) kususa sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kusema kimedhihirisha kilivyo na kigugumizi kutambua mapinduzi ya mwaka 1964.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BARAZA LA WAKILISHI WA CUF ZANZIBAR WAMEPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR KUFUTWA

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wa Chama chama Wananchi (CUF)wamepinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kufutwa  kutokana na mtu aliyefanya utenguzi huo ni utashi wake na sio Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
Wajumbe 27 wa baraza hilo wamewasili jijini Dar es Salaam kuzungumza na waandishi wa habari juu ya kizungumkuti cha matokeo ya uchaguzi kufutwa huku wakiwa wenyewe hatambui hatua hiyo.
Akizungumza  mmoja wa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi,...

 

9 years ago

StarTV

Serikali mkoani Tabora yanyooshewa kidole kwa Kutoendelezwa Mbuga Ya Wembere

Wakazi wa Igunga Mkoani Tabora wameitupia lawama serikali kwa kutothibiti Mbunga ya Wembere kwa kuendeleza mipaka na kuweka ulinzi wa kutosha hali ambayo imechangia wanyama  kutoweka katika mbuga hiyo.

Wamesema mbuga ya Wembere  ingeweza kuchangia  kipato  kwenye Halmashauri hiyo  kwa watalii kutembelea eneo hilo.

Aidha wameeleza kuwa sababu kubwa za kutoweka kwa wanyama katika mbuga hiyo ni uwindaji haramu licha  ya kutokea kwa mvua kubwa mwaka 1998  ambayo pia inadaiwa ilikua chanzo cha...

 

9 years ago

Global Publishers

CUF watoa tamko Zanzibar

Kaimu Mkurugenzi wa habari, uenezi na mawasiliano kwa umma Ismail Jussa.

Kufuatia taarifa iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho iliyokutana Zanzibar juzi, tarehe 27 Desemba, 2015, waandishi wengi wa habari wametupigia simu wakitaka kujua Chama Cha Wananchi (CUF) kimepokea vipi taarifa ile.

Vikao vya CCM ni vikao vya CCM. Si kawaida yetu kutolea taarifa maamuzi ya vikao vya vyama vyengine. Hata hivyo,...

 

9 years ago

Mwananchi

CUF: Hatutarudia uchaguzi wa Zanzibar

“Hatuwezi kurudia uchaguzi,” alisema Taslima. “Tunachofahamu ni kuwa uchaguzi umefutwa kinyume na sheria, hivyo ZEC ibatilishe uamuzi wake na kuendelea kutangaza matokeo ya majimbo yaliyobaki ili mshindi ajulikane.”

 

9 years ago

IPPmedia

CUF for greater Zanzibar autonomy


IPPmedia
CUF for greater Zanzibar autonomy
IPPmedia
CUF Zanzibar presidential candidates Seif Shariff Hamad addresses election compaign rally at Kibanda Maiti in Zanzibar yesterday. (Photo: Guardian Correspondent). Civic United Front's Zanzibar presidential candidate, Seif Shariff Hamad, launched his ...
CUF pledges vibrant economy, employment galore in ZanzibarDaily News

all 3

 

9 years ago

AllAfrica.Com

CUF Vows to Transform Zanzibar


CUF Vows to Transform Zanzibar
AllAfrica.com
Zanzibar — The Civic United Front (CUF) Isles presidential candidate, Mr Seif Sharif Hamad, has said that he has workable plans to transform Zanzibar into a vibrant economic and business centre if elected to become the eighth president of the archipelago.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ufunguzi wa ilani ya CUF Zanzibar

Zanzibar. Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar kimezindua ilani yake inayoainisha vipaumbele 35 ambavyo kitavifanyia kazi chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa iwapo kitashinda Oktoba 25. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ilani […]

The post Ufunguzi wa ilani ya CUF Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Daily News

CUF against reduction of constituencies in Zanzibar


CUF against reduction of constituencies in Zanzibar
Daily News
AS the exercise to review Zanzibar constituencies continues, the Civic United Front (CUF) has asked the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) not to reduce the number of constituencies in the islands. The party's Deputy Secretary General (Zanzibar), ...

 

10 years ago

Mtanzania

CCM, CUF wavutana vurugu Zanzibar

baloz Seif IddNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) umelaani na kusikitishwa na kauli za viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kuitupia lawama CCM kwa kudai imehusika katika kushambuliwa wafuasi wao.
Wakati CCM wakitoa kauli hiyo, CUF kimemtupia lawama Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), Balozi Seif Ali Idd kuwa ndiye amekuwa akitoa kauli za kuchochea vurugu visiwani humo.
Taarifa ya UVCCM Zanzibar kulaani matamshi hayo ilitolewa jana kwa vyombo vya habari na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani