Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daftari la wahalifu laanzishwa Dar es Salaam

KUIBUKA kwa makundi ya vijana ya uhalifu Dar es Salaam, kumesababisha uongozi wa mkoa kuanzisha daftari maalumu la kudumu la taarifa za wahalifu wote wa jiji hilo, ikiwa ni harakati za kumaliza tatizo hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DAFTARI LA WAHALIFU LAANZISHWA DAR ES SALAAM ILI KUWADHIBITI PANYA ROAD

KUIBUKA kwa makundi ya vijana ya uhalifu Dar es Salaam, kumesababisha uongozi wa mkoa kuanzisha daftari maalumu la kudumu la taarifa za wahalifu wote wa jiji hilo, ikiwa ni harakati za kumaliza tatizo hilo. Daftari hilo ambalo litakuwa na kazi ya kutunza orodha ya wahalifu wote kuanzia ngazi za mitaa, litasaidia kuwapata wahalifu kiurahisi watakapofanya matukio katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo.Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki wakati akizungumza na...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA MAALUMU KUTOKA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM JUU YA WAHALIFU WALIOTIWA NGUVUNI


Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...

 

10 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA DAR ES SALAAM YAZINDUA DAFTARI LA WANACHAMA WAKE

  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Seif Shaban Mohamed (kushoto) na Katibu wa Jumuia hiyo mkoa wa Dar es Salaam, Ali Cholaje wakionesha daftari hilo baada ya kuzinduliwa. Viongozi wa meza kuu wakipiga makofi wakati wakiimba wimbo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kabla ya kuzindua daftari hilo. Kutoka kulia ni Katibu Msaidizi wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Mohamed Mavela, Mwenyekiti wa Jumuia hiyo, Wilaya ya Ilala,Meritius Mangugu,Katibu wa Jumuia...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA MFUMO WA BVR

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWANANCHI wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza katika zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kwa mfumo wa BVR lililoanza leo.
Wakizungumza na Globu ya Jamii kwa nyakati tofauti walisema zoezi linaenda vizuri lakini linakabiliwa na changamoto chache ambazo zikitatuliwa wananchi wote watajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura.
Akizungumzia suala kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ,Salumu Abbakari Mkazi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKAMILISHA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU MKOA WA DAR ES SALAAM KWA MAFANIKIO MAKUBWA


Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kukamilika kwa zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari la Kudumu kwa kutumia mfumo wa BVR Mkoani Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani zoezi hilio limefanikiwa kwa kiasi kikubwa licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali zilizojitokeza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani