DAFTARI LA WAHALIFU LAANZISHWA DAR ES SALAAM ILI KUWADHIBITI PANYA ROAD
![](http://1.bp.blogspot.com/-yUGFz5n-_6A/UfalRCX7HFI/AAAAAAAAlaY/iXYR1ktJkmA/s72-c/Mkuu-1.jpg)
KUIBUKA kwa makundi ya vijana ya uhalifu Dar es Salaam, kumesababisha uongozi wa mkoa kuanzisha daftari maalumu la kudumu la taarifa za wahalifu wote wa jiji hilo, ikiwa ni harakati za kumaliza tatizo hilo. Daftari hilo ambalo litakuwa na kazi ya kutunza orodha ya wahalifu wote kuanzia ngazi za mitaa, litasaidia kuwapata wahalifu kiurahisi watakapofanya matukio katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo.Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki wakati akizungumza na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Jan
Daftari la wahalifu laanzishwa Dar es Salaam
KUIBUKA kwa makundi ya vijana ya uhalifu Dar es Salaam, kumesababisha uongozi wa mkoa kuanzisha daftari maalumu la kudumu la taarifa za wahalifu wote wa jiji hilo, ikiwa ni harakati za kumaliza tatizo hilo.
10 years ago
IPPmedia06 Jan
510 'panya road' netted in Dar es Salaam
IPPmedia
IPPmedia
Police in Dar es Salaam have arrested 510 youths and three ring-leaders in association with the criminal group popularly known as 'panya road' who are suspected to cause violence and chaos in the evening of Friday last week. Their arrest follows a police ...
500 arrested over 'Panya Road'Daily News
Tanzanian police arrest 36 in connection with gang violenceSabahi Online
Let Rule of Law RuleAllAfrica.com
all 15
10 years ago
Mwananchi12 Nov
‘Panya road’ wafunga mitaa minne Dar es Salaam
10 years ago
Mtanzania03 Jan
Panya Road waivuruga Dar
![Kamishna Suleiman Kova](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Suleiman-Kova.jpg)
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova
Na Waandishi Wetu
GENGE la vijana wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu jijini Dar es Salaam linalofahamika zaidi kwa jina la Panya Road, jana usiku lilivamia maeneo mbalimbali ya jiji na kufanya vitendo vya uhalifu.
Taarifa za kufanyika kwa vitendo hivyo vya uhalifu zilifika katika chumba cha habari cha gazeti la MTANZANIA Jumamosi saa 2.00 usiku na dakika chache baadaye zilisambaa katika mitandao ya kijamii huku zikiwa...
10 years ago
AllAfrica.Com07 Jan
Panya Road Arrests Continue in Dar
Daily News
AllAfrica.com
POLICE in Dar es Salaam are still carrying out an operation in different parts of the city to arrest all young people who are members of a criminal group known as 'Panya Road' who are alleged to have invaded and attacked people last Friday. The Dar es ...
Tanzanian police stage crackdown on Panya Road gangSabahi Online
510 'panya road' netted in Dar es SalaamIPPmedia
Dar should act 'big cat' to tame 'Panya Road''Daily News
all 25
10 years ago
Mtanzania08 Jan
Panya Road wafurika mahabusu Dar
![Kamishna Suleiman Kova](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Suleiman-Kova-300x200.jpg)
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova
Asifiwe George na Mwajabu Kusupa (TEC), Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limeendelea na kamatakamata ya vijana wanaotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu wa kutumia silaha na uporaji, walio maarufu kwa jina la Panya Road.
Watuhumiwa 329 zaidi wametiwa mbaroni jana katika operesheni iliyofanyika katika mikoa miwili ya kipolisi, Temeke na Ilala na kufanya idadi yao kufikia 953.
Operesheni hiyo...
10 years ago
Dewji Blog02 Jan
Panya road watikisa jiji la Dar
Kundi linalozaniwa ni la kihalifu maafuru kama “Panya Road” usiku wa leo wametoa hofu kubwa kwa wakazi wa Dar yakiwemo maeneo ya Tandale, Manzese, Magomeni, Mabibo na mengineyo.
Kundi hilo limezua hofu na kusababisha maduka kufungwa mapema huku watu wakikimbia ovyo kwa hofu na shughuli zote kwenye baadhi ya maeneo ya jiji kusimama mpaka pale hali itakapotengemaa.
Imebainika baadhi ya maeneo ni Magomeni, Tabata, Kinondoni na kwingineko kundi hilo limepita na kufanya uhalifu kwa kupora...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mAHYQtHlLj4SQ0ROS6jZ0c7H9YV7BPyWkHo-KCOtybZIPXyyAzXfeHkgPpQYRle7XaAs62chnre2nfsEjH0rVJtImOOW7qVT/Kamanda_kova.jpg)
PANYA ROAD WALIVYOTIA HOFU WAKAZI DAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RjUGj58MiaHwaVLvQvWm154HZCehwKc3sUWSL8gbB5WGV0icOF-CP87KbuAxOuTfUaTBx03hE*lgtLbtQP9VvurWRb2NoOlo/PANYA.jpg)
PANYA ROAD WALISIMAMISHA JIJI, DAR SI SALAMA