Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAKIKA 90 ZA DUNIA: Mfungwa aliyekuwa akisubiria KIFO aachiwa huru

Picha iliyopigwa na mwanasheria wake, ikimuonyesha Bwn Ford, siku ya kwanza kama mtu huru baada ya miaka 30 jela kwa kosa ambalo hakufanya. Photo Credits: theatlantic.com Wiki hii, mmoja wa wafungwa nchini Marekani, ambaye alikuwa kwenye orodha ya wanaosubiri kunyongwa kutokana na kuhukumiwa kifo kwa mauaji  aliyotuhumiwa kufanya mwaka 1984 aliachiwa huru baada ya Jaji kukubali kuwa hakukuwa na ushahidi wa kutosha kuonyesha kuwa ni yeye aliyeshiriki mauaji hayo. Sasa, mfungwa huyu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa aachiwa huru

Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga imemwachia huru mshtakiwa Eugene Mwaluko (18), aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kumbaka mtoto mdogo mwenye umri wa miaka tisa anayesoma darasa la tatu, Manispaa ya Shinyanga.

 

11 years ago

Habarileo

Kibanda aachiwa huru

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salam imemwachia huru aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda na wenzake baada ya kuwaona hawana hatia katika mashitaka ya uchochezi yaliyokuwa yanawakabili.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge aachiwa huru

MBUNGE wa Ukerewe, mkoani Mwanza, Salvatory Machemli ameachiwa huru na Mahakama baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka ya uchochezi yaliyokuwa yakimkabili.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mfungwa aliyeachiliwa huru ameshindwa kurejea nyumbani

Arif (ambaye sio jina lake halisi) alipoachiliwa huru kutoka gerezani magharibi mwa India machi 31, alikuwa na hamu sana ya kurejea nyumbani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati Mpalestina aachiwa huru

Mwanaharakati wa kipalestina Khader Adnan ameachiwa kutoka gerezani na utawala wa Israel

 

11 years ago

Mwananchi

Kondo wa Yanga aachiwa huru

>Mshambuliaji wa Yanga, Shaaban Kondo amejiunga na kikosi cha timu hiyo baada ya kuachiwa huru na Jeshi la Polisi lililomtia nguvuni juzi.

 

10 years ago

Habarileo

Aachiwa huru, akamatwa tena

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemuachia huru, Samwel Meshack baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuleta mashahidi kuthibitisha tuhuma za wizi zilizokuwa zikimkabili.

 

10 years ago

Habarileo

Shekhe Ponda aachiwa huru

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda (mwenye kanzu) akiingia Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam jana kusikiliza kesi inayomkabili. (Picha na Yusuf Badi).MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemwachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa dhidi yake.

 

9 years ago

GPL

EMMANUEL MBASHA AACHIWA HURU

Mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akitoka nje ya Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo. MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo imemuachia huru mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kosa la ubakaji baada ya kuona hana hatia juu ya madai hayo.
Mbasha alikuwa anakabiliwa na mashitaka ya kumbaka shemeji yake mwenye umri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani