Daktari bingwa KCMC asotea mafao kwa miaka 10
Daktari bingwa wa zamani wa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Dk Fulgence Mosha anasotea mafao yake ya kiinua mgongo na pensheni kwa miaka 10 mfululizo bila mafanikio.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 May
Daktari bingwa afa kwa dengue
9 years ago
Bongo510 Dec
Daktari Bingwa adaiwa kumpa Diamond mamilioni kwa kazi hii
Ile kauli ‘fedha huenda kwa wenye nazo’ haikukosewa sababu huo ndio ukweli.
Si kawaida kwa wasanii wa Tanzania kulipwa fedha wakati wanapokuwa wakiachia single zao lakini sio kwa Diamond.
Wakati ambapo mashabiki wake wanasubiria kwa hamu wimbo wake mpya Utanipenda! unaotoka Ijumaa hii, imebainika kuwa daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi, Dr Mwaka amemmwagia Diamond mamilioni ya fedha ili kuitangaza kliniki yake iliyopo Ilala Bungoni.
Taarifa hizo zinadai kuwa hiyo ni sababu pia Diamond...
11 years ago
Michuzi17 Apr
Daktari Bingwa at Work
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Daktari bingwa wa upasuaji aliyepooza viungo
11 years ago
Habarileo08 Jul
Hospitali ya mkoa ina daktari bingwa mmoja
HOSPITALI ya Rufaa ya mkoa wa Kagera inakabiliwa na upungufu wa madaktari bingwa saba, hali inayotajwa kuchangia huduma kusuasua hivyo kuongezeka kwa malalamiko kutoka kwa wagonjwa.
11 years ago
Habarileo10 Jan
Mwanafunzi wa Tusiime aota kuwa daktari bingwa
MWANAFUNZI Hussein Hemed Hussein aliyeongoza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka jana kwa kupata alama 243 wa Shule ya Msingi Tusiime ya Tabata jijini Dar es Salaam , amesema ndoto yake kuwa daktari bingwa.
10 years ago
MichuziDAKTARI BINGWA WA UPASUAJI WA KITANZANIA ATAMBULIWA NA JARIDA KUBWA LA FANI HIYO DUNIANI
9 years ago
MichuziDaktari Bingwa Mshauri maradhi ya Moyo kutoka Tanzania kupewa Tuzo ya Kimataifa nchini Uingereza Leo
10 years ago
MichuziDAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA SARATANI YA MATITI KUTOKA INDIA ATOA SEMINA YA UGONJWA HUO JIJINI DAR
ULAJI wa nyama nyekundu imeelezwa uchangia kwa kiasi kikubwa kupatwa na ugonjwa wa saratani ya matiti ambao umekuwa ni tishio duniani.
Hayo yalibainishwa na Daktari bingwa wa ugonjwa wa saratani ya matiti Profesa Anthony Pais kutoka Bangarole India katika semina ya siku moja kwa madaktari wa Tanzania na wadau wa sekta ya afya iliyofanyika Dar es Salaam juzi.
“Ulaji wa nyama nyekundu na vyakula vyenye mafuta unachangia kwa kiasi kikubwa kupata ugonjwa huo ambao umekuwa tishio...