DAMPO JIPYA LA KISASA LA KUTUPIA TAKATAKA LINALOJENGWA JIJINI MBEYA
Huu ndiyo muonekano wa dampo hilo la kisasa kwa upande wa juu ambapo ujenzi upo katika hatua za mwishoni.  Hili ni eneo ambapo magari yaliyobeba takataka yatakuwa yanaingia na kumwaga takataka hizo.…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/w_AVFvjVNp4/default.jpg)
10 years ago
MichuziTPSC yazindua jengo jipya jijini Mbeya
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TGgojEojrMw/Xk_pqK1TfOI/AAAAAAALetM/xs1pitK35CcWa7uhHnIRF7eGiYnVCnbvwCLcBGAsYHQ/s72-c/0003.jpg)
Vodacom yaendelea kusogeza huduma karibu na wateja wake, yazindua duka jipya la kisasa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam
![](https://1.bp.blogspot.com/-TGgojEojrMw/Xk_pqK1TfOI/AAAAAAALetM/xs1pitK35CcWa7uhHnIRF7eGiYnVCnbvwCLcBGAsYHQ/s640/0003.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-oX_6U4rMoAs/Xk_pqNnbVOI/AAAAAAALetI/zSdfqhJ26g4TQhs5xhFmrgiCfP3mxwB7ACLcBGAsYHQ/s640/000066.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-sXwV_iht6ao/Xk_pqMCHetI/AAAAAAALetE/Lsatc2bh6n0kA_j6VAMhA1dXmxdbsheYACLcBGAsYHQ/s640/000077.jpg)
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
PINDA aweka jiwe la msingi jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC jijini Dar
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) wakati alipowasili kwenye eneo la ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika eneo la Victoria jijini Dar es salaam kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo Oktoba 20,2015.Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mkurugenzi Mkuu wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-dEkB7UlmzW4/VPL5zZwaNLI/AAAAAAAHGuw/k_iQovqneYU/s72-c/1.jpg)
MPANGO WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA KISASA LA SALENDER WAKAMILIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-dEkB7UlmzW4/VPL5zZwaNLI/AAAAAAAHGuw/k_iQovqneYU/s640/1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
Kampuni ya Tigo yafungua Duka jipya la kisasa Sumbawanga Mjini
Katibu tawala mkoa wa Rukwa, ndugu Smythies Pangisa(kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Sumbawanga mjini, kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kusini Jackson Kiswaga na katikati ni meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana.
Meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana(katikati) akitoa maelekezo kwa mgeni rasmi Katibu tawala mkoa wa Rukwa ndugu Smythies Pangisa jinsi watakavyo hudumia wateja,...
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
DC Singida azindua duka jipya la kisasa la mtandao wa simu za mkononi la Halotel
Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi akikata utepe kuzindua duka jipya la mtandao mpya wa simu za Mkononi wa Halotel katika hafla fupi ya uzinduzi wa duka hilo uliofanyika jana kwenye viwanja vya ofisi za kampuni hiyo eneo la Stendi ya zamani.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Saidi Amanzi akizungumza na wafanyakazi wa Halotel kabla ya kukata utepe kuzindua duka jipya Mkoani Singida jana.
Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Halotel Tanzania, Khanh Duy akimwelekeza Mkuu wa Wilaya ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNUYBK4dTtujnzwbv5Emf0ntc9-F-2HJSEZ7QRP0k4oEAOfnLOqCv7pR3Wfktq4udWlpdRC0TM57maAf5shtfzJm/001.QUALITYCENTREUCHUMI.jpg?width=650)
VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA LA KISASA JENGO LA QUALITY CENTRE UCHUMI