DANIEL ARAP MOI AZIKWA LEO KABARAK
Rais wa zamani wa Kenya, Daniel arap Moi, anazikwa leo kwenye mji wa nyumbani kwake wa Kabarak baada ya maelfu ya watu kushiriki jana ibada ya kutoa salamu za mwisho mjini Nairobi.
Mwili wa Moi uliwasili Kabarak mapema leo asubuhi na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aongoza mamia ya watu kushiriki mazishi yake yoliyonyika mchana wa leo.
Wakati wa ibada ya taifa hapo jana Rais Kenyatta alimwelezea Moi kuwa kiongozi mpenda amani, baba wa taifa na kinara wa kupigania bara la Afrika pamoja na haki...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Maziko ya Daniel arap Moi: Maelfu ya raia wamiminika Kabarak kumuaga rais mstaafu Daniel Moi
5 years ago
BBC13 Feb
Kenyans say farewell to Daniel arap Moi
5 years ago
BBC13 Feb
Daniel arap Moi: How Kenyans learnt to laugh at the president
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Daniel arap Moi: Maisha yake katika picha
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Maandalizi ya mazishi ya rais mstaafu Daniel Arap Moi yanaendelea
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mazishi ya Daniel Arap Moi: Je ni vipi wazee huzikwa katika jamii ya Tugen?
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Daniel Toroitich Arap Moi: Wakenya watoa heshima za mwisho kwa rais mstaafu
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Daniel Toroitich Arap Moi: Wakenya watoa heshima za mwisho kwa siku ya pili mfululizo
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Daniel Toroitich arap Moi: Maelfu ya Wakenya na viongozi tofauti wahudhuria ibada ya mazishi katika uwanja wa Nyayo Nairobi