Daniel Toroitich Arap Moi: Wakenya watoa heshima za mwisho kwa rais mstaafu
Mwili wa rais mstaafu wa Kenya Daniel Toroitich Arap Moi upo katika bunge ambapo Wakenya watatoa heshima zao za mwisho
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Daniel Toroitich Arap Moi: Wakenya watoa heshima za mwisho kwa siku ya pili mfululizo
Milolongo mirefu yashuhudiwa katika majengo ya bunge Kenya kuutazama mwili wa Daniel Arap Moi
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Daniel Toroitich arap Moi: Maelfu ya Wakenya na viongozi tofauti wahudhuria ibada ya mazishi katika uwanja wa Nyayo Nairobi
Maelfu ya Wakenya kutoka maeneo mbali mbali wamehudhuria ibada maalum ya kumuaga rais mstaafu Daniel Toroitich arap Moi katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Maziko ya Daniel arap Moi: Maelfu ya raia wamiminika Kabarak kumuaga rais mstaafu Daniel Moi
Moi amezikwa kijijini kwake kaaribu na kaburi la marehemu mkewe Lena aliyeaga dunia mwaka 2004.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Maandalizi ya mazishi ya rais mstaafu Daniel Arap Moi yanaendelea
Matayarisho yanaendelea kwa kasi katika shule ya Kabarak, kwenye boma la aliyekuwa rais Daniel arap Moi.
5 years ago
BBC13 Feb
Kenyans say farewell to Daniel arap Moi
About 30,000 people packed a stadium for the state funeral of the country's longest-serving president.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-DI4HuKahF6E/XkPovQID7QI/AAAAAAAAuvY/dA2nSxj3hgwg7JFav0p2Y4-ZrFLDEIL9ACLcBGAsYHQ/s72-c/615b5802-4227-4bee-9949-032db66b8d56.jpg)
DANIEL ARAP MOI AZIKWA LEO KABARAK
![](https://1.bp.blogspot.com/-DI4HuKahF6E/XkPovQID7QI/AAAAAAAAuvY/dA2nSxj3hgwg7JFav0p2Y4-ZrFLDEIL9ACLcBGAsYHQ/s640/615b5802-4227-4bee-9949-032db66b8d56.jpg)
Mwili wa Moi uliwasili Kabarak mapema leo asubuhi na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aongoza mamia ya watu kushiriki mazishi yake yoliyonyika mchana wa leo.
Wakati wa ibada ya taifa hapo jana Rais Kenyatta alimwelezea Moi kuwa kiongozi mpenda amani, baba wa taifa na kinara wa kupigania bara la Afrika pamoja na haki...
5 years ago
BBC13 Feb
Daniel arap Moi: How Kenyans learnt to laugh at the president
Ex-President Moi left a mixed legacy but Kenyans learnt to laugh at his dictatorial excesses.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Daniel arap Moi: Maisha yake katika picha
Picha zainazoeleza maisha ya raisi wa zamani wa Kenya arap ambaye amefariki akiwa na miaka 95.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mazishi ya Daniel Arap Moi: Je ni vipi wazee huzikwa katika jamii ya Tugen?
Mzee Moi ni mzaliwa wa jamii ya Tugen jamii inayopatikana katika eneo la bonde la ufa nchini Kenya. Kama mzee wa jamii alitakiwa kuzikwa kupitia njia ya kitamaduni, lakini kutokana na hadhi yake ya kiserikali, utamaduni huo hautazingatiwa kikamilifu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania