Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daniel Manege: Mnilaumu Mimi na Si JB Kuhusu Filamu Mzee Wa Swagga

"Kwanza kabisa ningeanza kwa salam kwenu nyote na naamini muwazima wa afya.

Nimeamua kuandika ujumbe huu baada ya kuona na kupigiwa simu chache kuhusu "SKENDO" wa filamu Mzee wa Swagga kuwa imekopiwa.

Nijibu jibu fupi bila kusita kuwa kweli Story imekopiwa na original Story inaitwa Ladies Vs Ricky Bahl na mimi ndiye niliyemshauri JB kuichukua Story hiyo yenye maudhui ya kuvutia. Nataka nieleze sababu ya kufanya hivyo ila kabla sijaeleza sababu ningependa kuwaambia wale wote wanaotumia skendo...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Filamu mpya ya JB ‘Mzee wa Swagga’ ni kopi 100% ya filamu ya kihindi

Kwa mara ya kwanza muigizaji na muongozaji mahiri wa filamu nchini ameingia kwenye skendo ya kugeza filamu ya nje na kutengeneza filamu yake iitwayo ‘Mzee wa Swagga’. Issue hiyo ilianza kujulikana kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo kwa mujibu wa mtangazaji Zamaradi Mketema, shabiki mmoja wa show hiyo alimweleza kufanana kwa filamu […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Nisha: Mimi ni Msanii Wa Filamu,Ila Napenda Muziki

Mwigizaji wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema japo kuwa anafanya sanaa ya uigizaji ila anapenda sana kuwa mwanamuziki.

Nisha aliyasema hayo hivi majuzi alipokuwa kwenye studio za THT pamoja na mastaa wengine wakirekoni wimbo maalumu wa maombolezo ya msiba wa marehemu Captain John Komba.

Kila la kheri Nisha kama kweli unakipaji,...nitafurahi kama ukija kivingine, uwe tofauti na kina shilole na H mama.

Mzee wa Ubuyu

 

5 years ago

BBCSwahili

Maziko ya Daniel arap Moi: Maelfu ya raia wamiminika Kabarak kumuaga rais mstaafu Daniel Moi

Moi amezikwa kijijini kwake kaaribu na kaburi la marehemu mkewe Lena aliyeaga dunia mwaka 2004.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzee Yusuf kutikisa na filamu

MFALME wa Muziki wa taarabu Nchini, Mzee Yusuf, anatarajia kuachia filamu yake ya kwanza mwezi huu itakayokwenda kwa jina la ‘Nitadumu naye’ ikiwa ni nyimbo iliyowahi kutamba  nayo mwaka 2006....

 

10 years ago

Bongo5

PAPASO: Sidhani kama wasanii wote wa filamu hawajatulia, mimi nimetulia — Salma Jabu (Nisha)

Muigizaji wa filamu Tanzania, Salma Jabu a.k.a Nisha amefunguka mambo mengi yanayomhusu ikiwemo filamu, mahusiano yake, tuhuma za kuwa miongoni mwa wasanii wa kike wanaosemwa kwa kuvaa nusu utupu nk. Amezungumza hayo kupitia mahojiano na kipindi cha Papaso cha TBC Fm na D’Jaro Arungu ambacho hurushwa kupitia TBC 1.

 

10 years ago

Bongo5

Mzee Chilo asema filamu ya ‘Going Bongo’ imemfunza mengi

Msanii wa filamu nchini, Ahmed Olotu maarufu kama Mzee Chilo, amesema kuigiza ndani ya filamu ya Going Bongo kumemfunza mambo mengi huku akidai kuwa amegundua filamu nyingi za bongo watu wanakurupuka. Mzee Chilo (kulia) akiwa na muigizaji mkuu wa filamu ya Going Bongo, Ernest ‘Napoleon’ Rwandalla Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni katika uzinduzi wa filamu […]

 

10 years ago

GPL

PETER LUSE, MZEE MAGALI WAZINDUA FILAMU YA DINI

Baadhi ya watu waliohudhuria uzinduzi huo.
Mzee Magali akicheza muziki na mashabiki wake.
Bendi ya muziki wa injili kutoka katika kanisa la Nchi ya Ahadi ikitumbuiza.…

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA:MUIGIZAJI WA FILAMU NCHINI MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA.

Taarifa zilizotufikia katika chumba cha habari ya Globu ya Jamii zinaeleza kuwa Msanii wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Globu ya Jamii bado inafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha Muigizaji huyu mahiri wa filamu hapa nchini.Baadhi ya filamu alizowahi kuigiza Mzee Mnento ni Hero of the church, Dar to Lagos, Fake pastor n.k Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mzee Magali, Peter Luse Na Stanley Msungu Wazindua Filamu ya Dini

Waigizaji wa filamu, Peter Luse, Mzee Magali na Stanley Msungu wamezindua filamu  ya kidini  inayotambulika kwa jina la Behind The Pastors.

Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Princess Hall, Sinza-Mapambano, jijini Dar,  ambapo mtunzi wa filamu hiyo alisema madhumuni ya kuandaa filamu hiyo ni kubainisha changamoto wanazokutana nazo watumishi wa Mungu kama visa, ugomvi wa madhabahuni na ushirikina.

GPL

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani