Dar Bongo Massive: Wakali wanaotamani kukuza muziki wa asili
Wasanii mbalimbali nchini wamejaribu kuutambulisha muziki wa asili wa Kitanzania katika anga za kimataifa, kazi ambayo inaendelea kufanyika hata sasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Dec
Beka Ibrozama: Muziki wa biashara usitufanye tuutupe muziki wa asili ya Tanzania
![beka](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/beka-300x194.jpg)
Muimbaji aliyewahi kutamba na wimbo wake ‘Natumaini’, Beka Ibrozama ameonya kuwa kama wasanii watajisahau na kufanya zaidi ule wanaouita muziki wa biashara wenye kukopa vionjo vya nje, muziki wenye asili ya Tanzania utapotea.
Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky hivi karibuni, Beka alisema pamoja na kufanya nyimbo za kisasa, bado amekuwa akitumia muziki wenye asili ya Tanzania kumpa inspiration.
“Nasikiliza tu jinsi muziki unavyoelekea, naona ni muziki ambako upo wa kukopi sana, watu...
10 years ago
Dewji Blog28 Nov
Tuinue muziki wa injili kukuza maadili katika jamii: UDA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Bw John Samangu (kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi albamu ya kwanza kutolewa na ya kwaya ya Kanisa la Kigango cha Mtakatifu Rita wa Kashia ijulikanayo kama ‘Msifuni Bwana’ jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni mwenyekiti wa Kigango cha Mt. Rita Bw. Frederick Msumali(kushoto) na waumini wengine. (Picha na mpiga picha wetu).
Na Mwandishi Wetu
JAMII imeombwa kusaidia kuinua muziki wa injili unaofanywa na...
10 years ago
Bongo515 Sep
Mr Blue kuanzisha ‘Micharazo Foundation’ kusaidia kukuza vipaji vya muziki
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
SALUMU LUKOSI ‘KIDALI’: Msanii wa ngoma za asili anayesaka soko Bongo Fleva
MOJA ya ndoto ya wasanii wengi nchini ni kufikia malengo ya kuwa na maisha bora kama ilivyo kwa wasanii wengine waliopata kupitia huko. Pia ieleweke kwamba, sanaa imekuwa kitovu cha...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/45z4r7ugTtzJaE4YRphPruXscyGhF7VvJmDWq8d99m4iz-LsA6GCtU3tfpk3A4FxqFp7XH9z*hPwMLLeei7Jttkq0hyiow24/wakali.gif?width=750)
11 years ago
MichuziTHE LADIES WAKALI WA VITAFUNWA JIJINI DAR ES SALAAM