Dar kuanza msako wahamiaji haramu
SERIKALI inakusudia kufanya operesheni maalumu ya kusaka wahamiaji haramu katika jiji la Dar es Salaam lengo likiwa kudhibiti matukio ya kihalifu yanayotajwa kuchangiwa na uwepo wa wahamiaji hao ambao wakati mwingine huingia na silaha.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV27 Nov
Polisi wakamata wahamiaji haramu 105 Tabata Segerea Dar
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata Wahamiaji haramu wapatao 105 katika eneo la Tabata Segerea wilayani Ilala jijini Dar es Salaam baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema.
Polisi walizunguka nyumba hiyo tangu alfajiri na hatimaye kutumia utaratibu wa kisheria kuingia katika nyumba hiyo na kuipekua ndipo walipokutwa watu 105 wanaume na iligundulika kwamba wanatoka nchini Ethiopia.
Kamishina wa Polisi Kanda Maalum, Suleiman Kova amethibitisha kukamatwa kwa...
10 years ago
BBCSwahili19 May
EU kupambana na wahamiaji haramu
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Wahamiaji haramu 21 wakamatwa
IDARA ya Uhamiaji mkoani hapa, imewakamata wahamiaji haramu 21 kutoka nchi ya Ethiopia walioingia nchini kwa kutumia roli la kubebea saruji katika eneo Mashujaa mjini Makambako. Naibu Kamishna wa Idara...
11 years ago
Habarileo02 Jan
JK aonya wahamiaji haramu
RAIS Jakaya Kikwete ameonya wahamiaji haramu wanaorejea nchini baada ya Operesheni Kimbunga kumalizika na kusema kama wanafanya hivyo, wanajisumbua, hawatadumu nchini.
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
‘Msihifadhi wahamiaji haramu’
KIONGOZI wa mbio za mwenge wa uhuru, Rachel Kassanda, amewataka Watanzania kuacha tabia ya kuwahifadhi wahamiaji haramu, kwani kwa kufanya hivyo ni kuhatarisha amani na usalama wa nchi. Akizungumza baada...
10 years ago
Habarileo29 Jan
Wakala wa wahamiaji haramu anaswa
MKAZI wa Mwanza aliyetambulika kwa jina la Sultan Said Ramadhani (31) maarufu kama Kusharunga, amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia.
10 years ago
BBCSwahili10 Aug
Wanaowaajiri wahamiaji haramu kuadhibiwa
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Wahamiaji haramu 57 wakamatwa K’njaro
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Wahamiaji haramu 69 wakamatwa Kilimanjaro
IDARA ya Uhamiaji mkoani Kilimanjaro inawashikilia raia 69 wa Ethiopia wanaodaiwa kuingia nchini kwa njia za panya katika wilaya za Mwanga na Moshi Vijijini. Akizungumza na TanzaniaDima jana, Ofisa Uhamijaji...