Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAR LIVE ILIVYORINDIMA NA MITIKISIKO YA PWANI JANA‏

Mkongwe wa muziki wa Taarab, Malkia Khadija Kopa akiwapagawisha mashabiki wa muziki huo waliofurika katika ukumbi wa Dar Live kwenye tamasha maalum la Taarab lililoandaliwa na kituo cha Redio ya Times FM na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. Mwimbaji wa bendi ya Five Stars Modern Taarab, Ali Jay akikonga nyoyo za mashabiki waliofurika katika Tamasha la Muziki wa Taarab lililoandaliwa na… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DAR LIVE, VODACOM ZACHENGUA MASHABIKI KWA KISHINDO CHA MITIKISIKO YA PWANI

Mwimbaji wa bendi ya Super Shine, Queen Salma akifungua pazia la burudani. Nuru Moshi wa Super Shine akitoa burudani.…

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Mtanzania

KHADIJA KOPA APANIA MITIKISIKO YA PWANI

12_0NA GODFREY MBANILE

MSANII wa miondoko ya Taarabu nchini Khadija Omar ‘Khadija Kopa’ amesema ana furaha kutimiza miaka 25 katika tasnia hiyo hivyo atawashukuru mashabiki wake kwenye tamasha la Mitikisiko ya Pwani litakalofika leo usiku katika Ukumbi wa Dar Live.

Akichonga na Swaggaz, Khadija alisema mashabiki wa muziki wa Taarabu waliopo jijini Dar es Salaam na vitongoji
vyake wajumuike naye ili washereherekee pamoja kwenye tamasha hilo kubwa la Taarabu nchini.

“Nashukuru kupata fursa hii...

 

10 years ago

GPL

MITIKISIKO YA PWANI YATIKISA MASHABIKI DARLIVE

Mashabiki wakiwa wamepagawa na burudani kutoka kwa Msaga Sumu. Bi. Hindu na Dida wakipigana vijembe.…

 

11 years ago

GPL

UHONDO WA DAR LIVE JANA

Muimbaji mkongwe wa ToT, Mwanamtama Amiri, akiwapagawisha mashabiki ndani ya Dar Live. Mashabiki wakijimwaya. Mmoja wa…

 

10 years ago

GPL

DAR LIVE ILIVYOTIKISWA NA RAP FESTIVAL JANA

Roma akifanya yake.
Darasa akilikabili jukwaa.
Stamina akichana. Izzo Bizness akifanya yake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani