Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar Musica kujitambulisha kwa mbili mfululizo

MUSICANA MWALI IBRAHIM

BENDI ya muziki wa dansi ya Dar Musica inatarajia kuachia nyimbo zao mbili mpya hivi karibuni, wakiamini kwamba nyimbo hizo zitawatambulisha vema katika muziki wanaoufanya.

Bendi hiyo mpya inayoongozwa na aliyekuwa kiongozi wa bendi ya Mashujaa Musica ‘Wanakibega’, Jado Fidforce, kwa sasa ipo kambini jijini hapa ikijifua kwa ajili ya ujio huo.

Nyimbo zitakazoachiwa hivi karibuni ni ‘Chozi la masikini’ na ‘Bongo Michongo’ ambazo zitatambulishwa kwa mashabiki wake...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Baada ya kimya kirefu Ali Kiba aachi nyimbo mbili mfululizo “Kimasomaso” na “Mwana Dar” zisikilize hapa!

Alikiba - Mwana Cover Done CD-1

Unaweza kusoma Profile ya Ali Kiba hapo chini

Alikiba Saleh Kiba (born November 26, 1986) is a Tanzanian recording artiste, songwriter, dancer, producer, actor and model. He is one of Africa’s biggest stars and his name is steadily becoming a household name internationally.
So influential is Alikiba that the Tanzania’s president Jakaya Mrisho Kikwete honored him for his invaluable contribution to Tanzanian Music and Arts and Culture feted him.

In 2011, Alikiba was voted as “the most...

 

9 years ago

GPL

DAR MUSICA YAZINDULIWA KWA KISHINDO

Prezidaa wa Dar Musica, Jado Field Force akionesha ubora wake kazini. Vimwana wa Dar Musica katika pozi baada ya kushuka jukwaani. Mashabiki wakijimwaya. Wanenguaji wakifanya manjonjo.…

 

10 years ago

Mwananchi

Chui ‘kupiga’ mbili mfululizo Ligi ya RBA

Timu ya Mpira wa Kikapu ya Chui inarejea kwenye Ligi ya Kikapu mkoani Dar es Salaam (RBA) kwa mechi mbili muhimu.

 

10 years ago

Michuzi

DKT MAGUFULI AREJEA JIJINI DAR BAADA YA KUJITAMBULISHA MIKOA KADHAA,APOKELEWA KWA KISHINDO

 Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Bagamoyo (hawapo pichani) alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani Dodoma.Dkt Magufuli amejitambulisha vyema kila alikopita na kupokelewa kwa kishindo katika mikoa na vitongoji vyake aliyopita ikiwemo jijini Mwanza,Geita,dodoma,Morogoro,Pwani na jiji la Dar kwa ujumla. Wakazzi wa Bagamoyo wakimsikiliza Dkt Magufuli wakati alipokuwa akijitambulisha kwao na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt Magufuli arejea jijini Dar baada ya kujitambulisha mikoa kadhaa, apokelewa kwa kishindo

7

Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Chalinze (hawapo pichani) alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani Dodomaakitokea Mkoani  Dodoma. (PICHA NA MICHUZI JR-MICHUZI MEDIA GROUP).

Wakazi wa Bagamoyo wakimsikiliza Dkt Magufuli wakati alipokuwa akijitambulisha kwao.

Mkazi wa Bagamoyo akifurahia jambo.

 Wananchi wakimshangilia Dkt Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akijitambulisha kwao hapo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dar Modern kuzindua mbili kwa mpigo Valentine’s Day

BAADA ya kundi la Dar Modern Taarab kuwatambulisha waimbaji wapya watano jana, linatarajia kufanya uzinduzi mpya wa albamu mbili kwa mpigo katika Ukumbi wa Travertine Magomeni jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI AENEDELEA KUJITAMBULISHA NA KUWASHUKURU WANACHI WA CHATO MPAKA DODOMA KWA KISHINDO.

   Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake wakiwa wamefunga barabara wakitaka kumsalimia kwa  furaha kubwa Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa kwa wananchi hao akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru na kujitambulisha kwa Wananchi ndani ya mji wa Ushirombo,wilayani Bukombe,mkoa wa Geita...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani