Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar yazizima

Mgombea Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa akizungumza katika uzinduzi wa mkutano wa kampeni za Rais, wabunge na madiwani kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Na Waandishi wa Nipashe Jumapili, Agosti 30, 2015 Sumaye awa mbogo, […]

The post Dar yazizima appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Dar yazizima kufuatia kifo cha Balozi Flossie Gomile Chidyaonga

DSC_0051

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Muungano na Utawala Bora), Mh. Mwinyi Haji Makame, akisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili kuhudhuria misa maalum ya kumwombea aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini, Mh Flossie Gomile Chidyaonga kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).

DSC_0063

 Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Muungano na Utawala Bora), Mh. Mwinyi Haji Makame akibadilishana mawazo na Balozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Afrika Kusini yazizima

Afrika Kusini jana ilizizima, wakati mamilioni ya waombolezaji waliposhiriki katika Ibada ya Kitaifa ya kusema buriani kwa Rais wa Kwanza Mzalendo wa nchi hiyo, Mzee Nelson Mandela aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

'Dhahabu' nyeusi yazizima Kenya

Kampuni ya kuchimba mafuta ya Tullow imetangaza kupata visima vipya vya mafuta Kaskazini mwa Kenya na kuinua matumaini ya uchumi wa Kenya kuimarika zaidi.

 

9 years ago

Global Publishers

Mazishi ya tajiri mtoto, Moshi yazizima

20160104004127
Marehemu, Joseph Frank Maole enzi za uhai wake.

Na Mwandishi Wetu
MJI wa Moshi ambao ni Makao Makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro, Jumamosi iliyopita uligubikwa na simanzi wakati wa mazishi ya marehemu, Joseph Frank Maole ‘Tajiri Mtoto’ (36) aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.

Siku hiyo ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya nyumbani kwake, Magereza, mji wa Moshi ulipoa, watu wakiwa katika makundi, wengi wakiushangaa Mkoa wa 20160104004143

Waombolezaji wakiuzika mwili wa...

 

11 years ago

GPL

TFF YAPANGUA PINGAMIZI LA WAMBURA, MSIMBAZI YAZIZIMA

Shabiki wa Simba akifurahi kwa kuonyesha Katiba ya Simba.   Mashabiki wa Simba wakionesha furaha yao klabuni Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo. Ilikuwa ni pata-shika nguo-kuchanika na pongezi motomoto kwa shujaa wao…

 

9 years ago

Michuzi

CHATO YAZIZIMA WAKATI MAELFU WAKIHUDHURIA MKUTANO WA KAMPENI WA DKT. MAGUFULI LEO

 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda huu.  Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia  katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda huu.  Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani