Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mazishi ya tajiri mtoto, Moshi yazizima

20160104004127
Marehemu, Joseph Frank Maole enzi za uhai wake.

Na Mwandishi Wetu
MJI wa Moshi ambao ni Makao Makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro, Jumamosi iliyopita uligubikwa na simanzi wakati wa mazishi ya marehemu, Joseph Frank Maole ‘Tajiri Mtoto’ (36) aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.

Siku hiyo ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya nyumbani kwake, Magereza, mji wa Moshi ulipoa, watu wakiwa katika makundi, wengi wakiushangaa Mkoa wa 20160104004143

Waombolezaji wakiuzika mwili wa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA BI.TAJIRI TANGA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Bi.Tajiri Abdallah Kitenge wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Chumbageni mjini Tanga.Marehemu Bi.Tajiri ni mama wa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama Bwana Rashid Othman. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Bwana Rashid Othman wakati wa mazishi ya Mama yake Bi.Tajiri Abdallah Kitenge yaliyofanyika katika makaburi ya Chumbageni mjini Tanga jana(picha na...

 

10 years ago

GPL

MKURUGENZI GLOBAL AHUDHURIA MAZISHI YA MKWEWE MOSHI

Jeneza la mwili wa marehemu Justin Masaki. Picha enzi za uhai wake. Waombolezaji wakibeba jeneza.…

 

9 years ago

Michuzi

HAJA YA HOJA: NI LINI TAJIRI AKAPENDA MASKINI AKAWA TAJIRI KAMA YEYE

Ni jambo lilo wazi kuwa watu wote hawawezi kuwa sawa, hivyo watu wote hawawezi  kuwa matajiri. Hivyo kulipo na matajiri  wakubwa na  maskini nao ni wengi. Kwa sababu tajiri na maskini wanategemeana.  Utajiri hauwezi kuwepo bila kuwepo umaskini.Kwa mantiki hiyo ili tajiri awepo maskini lazima awepo na   maskini akiwepo  na tajiri atakuwepo, wote wanategemeana. Kanuni hii ni kwa watu na hata nchi.Ni kweli matajiri wanachukia umaskini  na maskini wenyewe wanatamani utajiri. Hivyo si rahisi kwa...

 

10 years ago

GPL

MAZISHI YA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA YAFANYIKA MOSHI

Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakiweka jeneza la Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa kwenye nyumba yake ya milele. Mazishi hayo yamefanyika jana Juni 05, 2015 katika kijiji cha Kidia, Old Moshi Mkoani Kilimanjaro. Jeneza la Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa likiwa tayari limewekwa kwenye nyumba yake ya Milele.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Ratiba ya mazishi ya marehemu mzee john fedha macha dar es salaam na moshi

Mazishi ya Mzee John Fedha Macha (pichani), Mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa Bamboo Bar ya Kinondoni (jirani na makaburi ya Kinondoni)  jijini Dar es salaam, ambaye alifariki dunia Jumatatu Julai 21,  2014 katika hospitali ya TMJ Mikocheni alikokuwa akitibiwa, yanatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa Julai 25, 2014 kijijini kwake Kirua Vunjo, Moshi, mkoani Kilimanjaro. Kwa mujibu wa ratiba iliyopatikana na Globu ya Jamii, Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zitafanyika nyumbani kwake...

 

11 years ago

Michuzi

mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Hayati Moshi Mussa Chang'a

Baadhi ya Wakuu wa Wilaya nchini na Wananchi wakishiriki kubeba mwili wa Marehemu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Hayati Moshi Mussa Chang'a kwa ajili ya kwenda kuusalia katika Msikiti wa Mwanchang'a Kihesa na baadae kupelekwa katika makaburi Mtwivila alikozikwa rasmi na mamia ya wananchi walijitokeza katika msiba huo Mkoani Iringa jana.  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akisalimiana kwa majonzi makubwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MEJA JENERALI MSTAAFU MUHIDDIN MFAUME KIMARIO MJINI MOSHI

  Ma-Meja wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) huku wakisindikizwa Ma-Kanalki wakiwasili katika makaburi ya Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Jumamosi Oktoba 11, 2o14
  Rais kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya (kushoto kwa Rais) na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Ibrahim Msengi (kulia) na Meja Jenerali  Ezekiel  Kyunga, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia kwa Rais)...

 

10 years ago

Michuzi

MAZISHI YA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA YAFANYIKA OLD MOSHI MKOANI KILIMANJARO

1Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakiweka jeneza la Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa kwenye nyumba yake ya milele. Mazishi hayo yamefanyika leo Juni 05, 2015 katika kijiji cha Kidia, Old Moshi Mkoani Kilimanjaro.4Askofu Mstaafu Dkt. Martin Shayo wa Diyosisi ya Kasikazini akiweka akiongoza Ibada Maalum ya mazishi ya Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa ambaye amefariki Juni 2, 2015 katika Hospitali ya Dar Group, Jijini Dar es Salaam(kushoto) ni...

 

11 years ago

Michuzi

mazishi ya mtoto nasra mjini morogoro yakusanya maelfu ya waombolezaji

 Hatimaye Mtoto Nasra Mvungi aliyefariki Juni mosi mwaka huu kufuatia kuaishi katika matesa makubwa kutoka kwa mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki na kuishi katika boksi bila huduma muhimu anazostahili kupatiwa binadamu hasa mtoto mdogo mwenye umri wa mwaka mmoja amezikwa kwa heshima zote na wakazi wa Morogoro wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Joel Nkaya Bendera, Mbunge wa Morogoro mjini, Abdulaziz Abood na mfanyabiashara wa mabasi na vituo vya mafuta mkoani Morogoro Al Saed Omary....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani