Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAWASCO YAINGIA MTAAANI KUDAI WATEJA WAO

Shirika la Majisafi na Majitaka limeanza operesheni kata Maji katika jiji la Dar kufuatia madeni sugu yanayodaiwa wateja kufikia zaidi ya billion 44 zinazowahusisha taasisi mbalimbali za serikali, watumiaji wa majumbani na wafanyabiashara mbalimbali.
Akizungumza na gazeti hili, Ofisa Uhusiano wa Dawasco, Bi Everlasting Lyaro alisema operesheni hiyo inatarajiwa kuanza mapema wiki ijayo na lengo kuu ni kuweza kupata fedha hizo ambazo ni malimbikizo ya muda mrefu.
“operesheni hii itaanza wiki...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DAWASCO YAANZA NA OPERESHENI KATA MAJI KWA WATEJA WAO WENYE MADENI

SHIRIKA LA MAJISAFI NA MAJITAKA DAR ES SALAAM (DAWASCO) LINAHIMIZA WATEJA WAKE WOTE KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM, MIJI YA KIBAHA NA BAGAMOYO KULIPA BILI ZAO KWA WAKATI NA KABLA MWEZI HAUJAISHA.
MTEJA ULIYETUMIA HUDUMA YA MAJISAFI NA MAJITAKA, NENDA  SASA KALIPIE KABLA HUDUMA HIYO HAIJASITISHWA NA WAKAGUZI WANAOPITA NYUMBA KWA NYUMBA.
ZOEZI LA USITISHWAJI WA HUDUMA YA MAJI LIMEANZA RASMI NA LITAHUSISHA WAKAZI WOTE WANAOHUDUMIWA NA DAWASCO.
KUMBUKA PINDI UTAKAPOSITISHIWA HUDUMA HII GHARAMA YA...

 

10 years ago

Habarileo

Dawasco yadai wateja bil. 40/-

 MAMLAKA ya Maji Safi na Maji Taka (Dawasco) imesema inadai zaidi ya Sh bilioni 40 kutoka kwa wateja sugu, waliolimbikiza madeni yao ya maji ya kila mwezi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wateja waitaka Dawasco kuboresha huduma zake

Baada ya kupandisha bei ya huduma zake, baadhi ya wateja wa Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) wamelitaka kuziboresha ili ziendane na ongezeko la gharama.

 

10 years ago

Michuzi

UTARATIBU MPYA WA KUPATA BILI KWA WATEJA WA DAWASCO

SHIRIKA LA MAJI SAFI NA MAJITAKA DAR-ES-SALAAM (DAWASCO),  LINAWATANGAZIA  WAKAZI WA JIJI LA DAR-ES-SALAAM NA MJI WA BAGAMOYO MKOANI PWANI  KUWA, UTARATIBU WA KUPATA BILI KWA MTEJA UMEBADILIKA KUTOKA “SPOT BILL” KWENDA “SPOT SMS” KUANZIA  JULAI 2015.
UTARATIBU HUU UNAMAANISHA KUWA MTEJA ATAKUWA AKIPATIWA BILL YAKE YA MATUMIZI YA MAJI KILA MWEZI KUPITIA SIMU YAKE YA MKONONI, NA UTALENGA WATEJA WA MAJUMBANI TU NA HAUTAHUSISHA KAMPUNI NA TAASISI ZA SERIKALI.
FAIDA ZA UTARATIBU HUU NI PAMOJA NA...

 

10 years ago

Michuzi

E FM 93.7 yaingia Bagamoyo kwa kishindo na kupokelewa na mabango ya wasilikilizaji wao.

Kituo cha radio kinachokuja kwa kasi jijini Dar es Salaam leo usiku huu kimefanya uzinduzi mkubwa wa radio hiyo mjini Bagamoyo. Pichani Mtangazaji wa michezo wa radio hiyo Maulid Kitenge akiwa na baadhi ya wasikilizaji mara baada ya kuwasili mjini Bagamoyo tayari kwa uzinduzi usiku wa kuamkia leo. Mkude Simba ndani....

 

10 years ago

Dewji Blog

DTB yafutarisha wateja wao Zanzibar

Mkuu wa Idara ya Masoko wa DTB Tanzania Ndg Sylevester Bahati akitowa maelezo ya hafla hiyo ya futari katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. kwa ajili ya Wateja wa DTB Zanzibar hii ikiwa ni mara ya 6 kwa Benki hiyo kujumuika na Wateja wao katika futari maalumu. IMG_4057

Mgeni rasmi na viongozi wengini na wananchi wakipata futari maalumu ilioandaliwa na DTB Tawi la Zanzibar kwa wateja wao kujumuika pamoja iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya serena shangani Zanzibar.

Meneja...

 

10 years ago

Vijimambo

DTB YAFUTARISHA WATEJA WAO ZENJ

Mkuu wa Idara ya Masoko wa DTB Tanzania Ndg Sylevester Bahati akitowa maelezo ya hafla hiyo ya futari katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. kwa ajili ya Wateja wa DTB Zanzibar hii ikiwa ni mara ya 6 kwa Benki hiyo kujumuika na Wateja wao katika futari maalumu.Mgeni rasmin na viongozi wengini na wananchi wakipata futari maalumu ilioandaliwa na DTB Tawi la Zanzibar kwa wateja wao kujumuika pamoja iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya serena shangani Zanzibar.
Meneja wa Tawi...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Kampuni za simu nchini zinawaibia wateja wao’

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amekiri kwamba kuna tatizo katika kampuni za simu nchini la kuwaibia wateja wao.

 

5 years ago

Michuzi

PICNIC ILIVYOJIPANGA KUWALINDA WATEJA WAO NA UGONJWA WA CORONA

Na Woinde Shizza,Arusha
Uongozi wa bar maarufu ya picnic iliyopo katikati ya jiji la Arusha umeelezea mikakati mbalimbali ambayo wanaitekeleza kipindi hiki katika kupambana na janga la ugonjwa hatari wa  Corona.
Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa bar hiyo, Bodia Kaaya alisema kwamba kufuatia janga la corona wao kama watoa huduma wamechukua hatua mbalimbali ikiwemo kuhakikisha wahudumu wao wanavaa barakoa muda wote wakati wa kutoa huduma.
Kaaya,alisema kwamba mbali na barakoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani