Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAWASCO yawapoza wakazi Kidunda


NA  LATIFA GANZEL, MOROGORO
MAMLAKA ya Maji Safi na Taka Dar es Salaam (DAWASA), imewahakikishia wakazi wa Kidunda, wilayani Morogoro  kwamba inapitia upya  baadhi ya malalamiko juu ya fidia zao  katika mradi wa bwawa la Kidunda na kuyapatia ufumbuzi.
Hayo yalibainishwa jana na Mthamini wa Mali za DAWASA, Mhandisi  John Kwecha, alipzungumza na waandishi wa habari mjini hapa juu ya malalamiko hayo.
Alisema  baada ya kulipa fidia katika eneo la mradi wa bwawa la Kidunda, wamepokea malalamiko  ya...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Kidunda wataka fidia

WAKAZI wa Kidunda, Wilaya ya Morogoro Vijijini wameilalamikia serikali kwa kushindwa kulipa fidia ili kupisha mradi wa ujenzi wa bwawa litakalowahakikishia upatikanaji wa maji wakazi wa Dar es Salaam. Akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

DAWASCO yawaomba radhi wakazi wote wa jiji la Dar na mji wa Bagamoyo kwa kukosekana kwa huduma ya maji

DAWASCO inaomba radhi wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kwa kukosekana kwa huduma ya Maji kutoka katika mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini kwa wastani wa saa 72 kwa siku za Ijumaa hadi Jumatatu ya tarehe 28, 29  na 30 November 2014. 
Kukosekana kwa huduma hii kulitokana na kazi ya mkandarasi (Sino-hydro Corporation ltd) kuunganisha bomba la zamani na bomba jipya (cross-connection) katika mtambo wa Ruvu Chini eneo la Mpiji, Bagamoyo na eneo la Chuo Kikuu Ardhi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kidunda aaga Madola

Tanzania imeendelea kufanya vibaya kwenye fainali za Jumuiya ya Madola baada ya nahodha wa timu hiyo, bondia Seleman Kidunda kushindwa kufuzu kwa robo fainali.

 

11 years ago

TheCitizen

Kidunda: Medal haul our priority

Team Tanzania captain Suleiman Kidunda has promised that the side will cause upsets at the 2014 Commonwealth Games planned to start next Wednesday in Glasgow, Scotland.

 

11 years ago

Habarileo

Kidunda kuanza kulipwa fidia Julai 21

MAMLAKA ya Maji Safi na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam, (DAWASA), imetenga kiasi cha sh bilioni 7.9 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wakazi 2,600 watakaohamishwa katika kijiji cha Kidunda wilayani Morogoro kupisha ujenzi wa bwawa la maji na barabara.

 

11 years ago

Mwananchi

MAJI: Mkopo wa Sh300 bil kujenga Bwawa la Kidunda

>Mamlaka ya Maji Safi na Taka Dar es Salaam (Dawasa) imetia saini makubaliano ya mkopo wa bei nafuu na kampuni ya China kwa ajili ya mradi wa bwawa la Kidunda.

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI INA NIA NA BWAWA LA KIDUNDA - NAIBU WAZIRI WA MAJI

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, amesema Serikali ina nia na bwawa la Kidunda na watahakikisha wanautekeleza mradi huo kama ilivyopanga.
Mhe. Makalla amezungumza hayo jana wakati alipotembelea kijiji cha Bwira Chini ambacho pamoja na Bwira Juu ni moja ya vijiji vitakavyopisha ujenzi wa bwawa hilo kubwa, kuongea na wananchi ambao wamekua katika hali ya sintofahamu kuhusu utaratibu wa kuhama katika makazi yao kwa ajili ya kupisha ujenzi huo.
“Serikali ina nia na bwawa la Kidunda, ila...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA WAKURUNGENZI YA DAWASA YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA

Meneja Usimamizi, Undeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaama (DAWASA), Bi.Modesta Mushi akiwaneosha Wajumbe wa Bodi ya Wakurungenzi wa mamlaka hiyo ramani ya Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, Agosti 29, 2014 wakati wa ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi, Mhandisi. John Kirecha akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurungenzi ya Mamlaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani