Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Dawati la jinsia litumike kukomesha udhalilishaji’

WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wametakiwa kulitumia dawati la matukio ya vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia, ikiwamo ubakaji ili kukomesha matukio hayo moja kwa moja.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

UN, SMZ kushirikiana kukomesha udhalilishaji wa kijinsia

IMG_9939

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa  na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Dawati la Jinsia na Watoto, Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Kijiji cha Mahonda wakati wa ziara fupi ya kukagua miradi inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa visiwani humo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja huo tangu kuanzishwa.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar.

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa  na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi wapiga msasa dawati la jinsia

JESHI la Polisi mkoani Dodoma, limeendesha semina ya mafunzo maalumu wilayani Kongwa, kwa askari wanaofanyakazi Dawati la Jinsia na Watoto juu ya namna sahihi ya kushughulikia makosa yote ya ukatili...

 

11 years ago

Michuzi

IGP MANGU AFUNGUA JENGO LA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO MKOA WA KILIMANJARO

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,Inspekta Jenerali wa Polisi ,Ernest Mangu akizungumza wakati wa uzinduzi wa jengo la dawati la Jinsia katka kituo kikuu cha Polisi mjini Moshi.Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Koka Moita akizungumza kabla ya kumkaribisha ,IGP ,Mangu kuzindua dawati la jinsia.Mkuu wa Dawati la Jinsia mkoa wa Kilimanjaro,Grace Lyimo akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo hilo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI, DKT. PINDI CHANA ATEMBELEA DAWATI LA JINSIA LA POLISI LA WILAYA DODOMA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt Pindi Chana leo ametembelea Dawati la Jinsia na Watoto la Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Dodoma Mjini kwa lengo la kukagua utendaji kazi wa madawati haya yaliyoanzishwa kwa lengo kushughulikia kesi zote zinazohusiana na unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto nchini, kama njia moja wapo ya kuboresha utoaji wa huduma bora za ulinzi na usalama kwa watoto na watu wa jinsi zote.  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt atembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Temeke

FINAL_Press Release German First Lady Visit_03022015.docx by moblog

 

Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt akisalimiana na maofisa wa Jeshi la Polisi wakati alipotembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Cha Temeke jana.

Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Jeshi la Polisi Tanzania, DCP Adolphina Chialo akitoa ripoti ya dawati la jinsia na watoto tokea kuanzishwa kwake wakati mke wa rais wa Ujerumani Bi Daniella Schadt alipotembelea dawati la jinsia na...

 

10 years ago

Michuzi

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la jinsia, Inspekta Prica Komba atembelea kambi ya wakimbizi

 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la jinsia, Inspekta Prica Komba (kulia)alipotembelea kambi hiyo  chini ya udhamini wa Vodacom Foundation kwenda kutathmini kama kuna unyanyasaji wa kijinsia  miongoni mwa wakimbizi wa Burundi na Kongo waliopo katika kambi hiyo. Baadhi ya watoto wanaoishi katika kambi ya wakimbizi iliyopo Nyarugusu wilaya ya Kasuru Mkoa wa Kigoma,wakifurahia jambo na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia...

 

10 years ago

Michuzi

First lady wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt atembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Temeke leo.

Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt akisalimiana na maofisa wa Jeshi la Polisi wakati alipotembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Cha Temeke leo.Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Jeshi la Polisi Tanzania, DCP Adolphina Chialo akitoa ripoti ya dawati la jinsia na watoto tokea kuanzishwa kwake wakati mke wa rais wa Ujerumani Bi Daniella Schadt alipotembelea dawati la jinsia na watoto katika Kituo cha Polisi cha Chang'ombe kilichopo Temeke.Baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani