DC acharukia Mtendaji wa Kiru
MKUU wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara, Chrispin Meela amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Vijijini, Dominic Kweka kumchukulia hatua za kinidhamu Mtendaji wa Kijiji cha Kokomay Kata ya Kiru, Raphael John kwa tuhuma za kunyanyasa kijinsia wanawake.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 Sep
RC acharukia wanaohusisha CHF na Freemasons
BAADHI ya wakazi wilayani Kyela wanadaiwa kupotosha kuhusu umuhimu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwa kuuhusisha na mfumo wa Freemasons.
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Mzindakaya acharukia operesheni makokoro
MKUU wa Wilaya ya Busega, Paul Mzindakaya, amewaamuru kuondoka mara moja wilayani humo maofisa wa serikali wakiwemo askari polisi waliokuwa wakiendesha kinyemela operesheni ya kusaka makokoro kisha kupiga na kukata...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Wassira acharukia wataka urais
10 years ago
Habarileo03 Jun
Lubuva acharukia vyama vya siasa
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva amevitaka vyama vya siasa kutogeuza suala la uandikishaji wa wanafunzi vyuoni kwenye daftari la wapiga kura kuwa ajenda ya kisiasa au sehemu ya manifesto ya chama chochote cha siasa.
11 years ago
GPL
MAMA ABDUL ACHARUKIA WEZI KWENYE MISIBA